MAPINDUZI YA FIKRA!!
Ni muda sasa tangia kadhia ile ya refa alipoamua kukwatua! Na mi kwa sababu moja ama nyingine nikaamua kujikalia kando na kuwa msomaji tu wa kawaida. Lakini hali hile...
Habari za siku nyingi ndugu wanaJF
Nimefanya safari nyingi sana ndani ya jimbo langu la uchaguzi ninalodhamiria kugombea na paoja na mambo mengine nilitangaza rasmi dhamira yangu hiyo. katika...
Baadhi ya wagonjwa wakiwa wamelala chini katika hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), wodi namba 17 Sewa Haji kunakosababishwa na upungufu wa vitanda katika hospitali hiyo. (Picha na Peter Twite...
CALL FOR ACTION IN NORTH MARA GOLD MINE
Dear Colleagues and partners,
Greetings from North Mara in Tarime.
I wish to share with you some photos of the current situation in...
BAADA ya Rais Jakaya Kikwete kusaini Sheria ya Gharama za Uchaguzi wiki iliyopita, Serikali imependekeza matumizi kwa mgombea urais yasizidi Sh bilioni moja kuanzia kwenye mchakato wa kuteuliwa na...
- Wakuu JF, tuna habari za huzuni kwamba Mwanasiasa wa siku nyingi sana toka enzi za Mwalimu, amefariki dunia leo asubuhi sana. Tutawaletea habari zaidi za msiba na matayarisho ya mazishi.
-...
Comrades & compatriots,
What questions would you ask our beloved President, Jakaya Kikwete, if you would get a rare opportunity for one-to-one interview?
JK is one of the most important...
MNAJIMU wa Afrika Mashariki na Kati, Sheikh Yahya Hussein amemwelezea Spika Samuel Sitta kuwa ni kiongozi ambaye kwa sasa yuko juu na kwamba, hakuna atakayeweza kumgusa kwa lolote...
Wanakwetu kuna mtu ameshakisoma kitabu cha kisiasi nilichoona kwenye tv kinazinduliwa wiki mbili zilizopita?
kama yupo kuna nini ndani yake jamaani, naomba kujua
A long but good read. Nothing new really, we all know the same old issues of corruption, incompetence and bureaucracy. This article just sums up madness.
Tanzania: Electricity in the Grip...
wakati kesi ya mgombea binafsi inategemewa kuskilizwa tarehe 8 April mbele ya majaji saba mahakama imemteua DPP wa Zanzibar bwana Othman Masoud kuwa rafiki wa mahakama. rafiki huyu mpya ataungana...
Sipendi kuona Watanzania kazi yao kudanganywa tu!!
Sitaki kuona raisi wetu kazi yake ni kuzurura tu!!
Sipendi kuona maisha ya watu + na watu Tanzania!!
Sipendi kuona Tanzania ikitawaliwa na...
Baada ya kushindwa kwa sera ya Azimio la Arusha ya Ujenzi wa Vijiji vya Ujamaa vijiji vingi vya ujamaa vilikufa na wananchi wakarudia maisha yao ya jadi. Hii yote inasadikika ni jinsi gani Mwalimu...
CHADEMA yaendeleza harakati za ukombozi wa raslimali za umma dodoma, wakazi wajitokeza kwa wingi kuunga mkono, wa muahidi MBOWE wapo tayari kwa lolote litakalo tokea kwa mabaya au kwa mema mpaka...
Jan, tar. 12 tulishuhudia askari wetu wakipita mbele ya mgeni rasmi Mh. Karume wakitoa heshima kwa mkuu. Lakini Mh. mwingine ambaye ni Rais wa jamhuri ya Muungano wa TZ alikuwepo.
Mpaka leo sipati...
Mh.Dk Slaa rafiki wa watanzania wote wakiwemo wana CCM wasafi na kuacha wachache wachafu na wasio na heshima wala upendo na Tanzania yangu , CCM Arusha wanakuundia kashfa nzito ili waweze kuitumia...
Waandshi wetu wa habari wamenishangaza kweli kwa hatua yao ya kukaa kimya dhidi ya tuhuma kuwa wanakula rushwa kwa ujumla wao tuhuma zilizotolewa na raisi wa Tanzania ndugu Kikwete. Yaani huwezi...
Tunahitaji kuweka CVs(resumes) za January Makamba,Lazaro Nyalandu,Zitto Kabwe na vijana wengine wote watakao kuwa wanagombania public office ili tufanye upembuzi yakinifu..na kuwaeleza nini...
- Ndugu zangu wananchi wote wa Tanzania mnaoishi mjini New york na vitongoji vyake, kwa niaba ya Mwenyekiti wa Muda Ndugu Khaji, ninaomba kuwatangazia tangazo la tangulizo kuhusu kusajiliwa kwa...
Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Jamii (CCJ), Richard Kiyabo (kulia), akiangua kilio baada ya yeye na Katibu Mkuu wake, Renatus Muabhi, kuweka mashada ya maua kwenye kaburi la hayati Baba wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.