Mshike mshike za kisiasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mshike mshike za kisiasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mtuwatu, Mar 27, 2010.

 1. mtuwatu

  mtuwatu Member

  #1
  Mar 27, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 95
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wanakwetu kuna mtu ameshakisoma kitabu cha kisiasi nilichoona kwenye tv kinazinduliwa wiki mbili zilizopita?
  kama yupo kuna nini ndani yake jamaani, naomba kujua
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mkuu, mbali na neno la bluu hapo juu ambalo huenda ulimaanisha KISIASA, lakini hujaweka jina la kitabu hicho ili kurahisisha mambo!
  Au ndo kinaitwa MSHIKEMSHIKE ZA KISIASA!
   
 3. mtuwatu

  mtuwatu Member

  #3
  Mar 27, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 95
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sorry, ni weli kabisa nimemaanisha mshike mshike za kisiasa!
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Mar 27, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  siku zote unapotafuta kitabu
  hakikisha unajua jina la mwandishi kwanza......
   
Loading...