Bado una-imani na wanasiasa wa nchi hii? unataka kugusa alama za misumari?
Bado una-imani na wanasiasa wa nchi hii? unataka kugusa alama za misumari?
Unataka CV ili iweje? Hujui kuwa being politician is about 'knowing everything' without having any knowledge?
Mi namshangaa ati..
Kaa ananafasi ya kazi ya kitaalauma anataka kuwapa awatafute huko kwa muda wake wampe hizo CV, otherwise hapa anachofanya ni kupiga kasia kwenye nchi kavu.
Unataka CV ili iweje? Hujui kuwa being politician is about 'knowing everything' without having any knowledge?
CV ni mhimu sana kwanye politics kwa nchi za wenzetu ni hot cake angalia Tony Blair, Brown, Obama, Hilary etc lakini kwa bongo inaonekana kama kiini macho wapiga kura wengine hawajui hata maana ya CV.Kwa staili hiyo ni ngumu kuendelea.
Politks ni kazi inayoendana na cv, otherwise tutabaki kama tulivyo. Politks si uwezo wa kupiga propaganda.Politks ni uwezo wa kubuni, kuuwezesha ubunifu na hatimaye kuupitisha ktk nyoyo za wananchi.Hivyo kazi hii inahitaji kwenda sambamba na cv.
Waberoya Dont give up Tanzania itaendelezwa na watanzania wenyewe nje ya watanzania watakuwa na malengo yaoBado una-imani na wanasiasa wa nchi hii? unataka kugusa alama za misumari?
Kwa staili hiyo ni ngumu kuendelea.
Politks ni kazi inayoendana na cv, otherwise tutabaki kama tulivyo. Politks si uwezo wa kupiga propaganda.Politks ni uwezo wa kubuni, kuuwezesha ubunifu na hatimaye kuupitisha ktk nyoyo za wananchi.Hivyo kazi hii inahitaji kwenda sambamba na cv.
Waberoya Dont give up Tanzania itaendelezwa na watanzania wenyewe nje ya watanzania watakuwa na malengo yao
CV ni mhimu sana kwanye politics kwa nchi za wenzetu ni hot cake angalia Tony Blair, Brown, Obama, Hilary etc lakini kwa bongo inaonekana kama kiini macho wapiga kura wengine hawajui hata maana ya CV.
kwani walio na CV nzuri wamefanya,,,,si hao hao waliosoma kwa kodi za walala hoi,,,,si ndo hao hao walioiuza nchi na wanaoendelea kuiuza kwa wahindi, makaburu nk,,,,,,,wakina Mzee Karume hakuwa na CV nzuri lakini kwa muda mfupi aliokaa madarakani alifanya mambo ambayo mpaka leo hakuna mtawala amemfikia,,,,,kilichoandikwa kwenye makaratasi sio kigezo cha utendaji wa mtu hata kidogo......
I get you mkuu but I hope you are not confusion a CV with education. A person can have a good CV without a high level of formal education. A CV simply explains what you have done until the current point. Nadhani tatizo kubwa ni kwamba wengi wanafikiri ukiomba CV unaomba simply list ya wapi mtu kasoma.
Mfano: Mzee kawawa hakuwa na elimu kubwa lakini kwenye CV yake kabla ya kuwa VP wa Tanganyika ni kwamba kwa muda mrefu alikua kiongozi kwenye trade union. Kwa hiyo kama wakati huo ingeombwa CV yake watu wangejua kuwa alikua kiongozi wa trade union na wakaangalia ni nini amefanya akiwa kwenye nafasi hiyo.
Should we give up and lose hope to our beloved country?
Remember winners never quit and quitters never win.
CV ni mhimu sana kwanye politics kwa nchi za wenzetu ni hot cake angalia Tony Blair, Brown, Obama, Hilary etc lakini kwa bongo inaonekana kama kiini macho wapiga kura wengine hawajui hata maana ya CV.
Waberoya Dont give up Tanzania itaendelezwa na watanzania wenyewe nje ya watanzania watakuwa na malengo yao
Luteni,
Kuna baadhi ya watu wamekata tamaa alafu wanataka kuwakatisha tamaa na wengine....kinachochekesha na kusikitisha bado wanakuja humu ndani ya "Jukwaa la Siasa" na kulalamika vitu visivyo na maana...wakitengemea malalamiko yao yatanyoka...ukiwaambia tunataka CV ya wagombea watu hawaoni umuhimu wake..siku jamaa akiingia madarakani na kuboronga wanaanza kulalama....
Mkuu
namaanisha vyote,,,,,mara nyingi kwa Bongo definition ya CV ni elimu,,,,,,,kitu ambacho tunakosea saana, refer mjadala wa Ndugu Myika kwamba alizungusha kidato cha sita nadhani ulikuwa jana ,,,,,,,,,,,na hata leo swala la Michuzi kualikwa London,,,,,wapo watu hawana elimu ya darasani lakini wana elimu ya masiha je hao wanyimwe haki ya kuwa viongozi wa wananchi kwa kuwa hawana degree? na swala la uzoefu sio kigezo hata kidogo,,,, kwani vijana kama wakina Zitto walikuwa na uzoefu walipoingia bungeni,,,, cha msingi kama mtu ameonyesha anaweza apewe nafasi
kwani walio na CV nzuri wamefanya,,,,si hao hao waliosoma kwa kodi za walala hoi,,,,si ndo hao hao walioiuza nchi na wanaoendelea kuiuza kwa wahindi, makaburu nk,,,,,,,wakina Mzee Karume hakuwa na CV nzuri lakini kwa muda mfupi aliokaa madarakani alifanya mambo ambayo mpaka leo hakuna mtawala amemfikia,,,,,kilichoandikwa kwenye makaratasi sio kigezo cha utendaji wa mtu hata kidogo......
Nafikiri japo sina uhakika sana
CV inajumuisha umezaliwa lini, umesoma wapi, umefanya nini,unafanya nini wapi na kwanini na lini.
Nafikiri unachoongelea nikipengele kimoja ktk cv