M
Joined
Likes
1

Profile posts Latest activity Postings About

 • Lady N
  its long tym shem, uko wapi? au mchina kakulisha limbwata la kichina?
  M
  wapenzi kutembelea mbuga za wanyama - tz

  aliyepost ile thread tafadhari soma mchango wangu, it is very useful

  thanks
  M
  hi waungwana.
  leo nimejiunga rasmi uwanjani hapa JF. ni matarajio yangu kuwa tutaendelea kuwasiliana na ndugu wote na kubadilishana mawazo na michango mbalimbali kwa maendeleo yetu kama binadamu na nchi/taifa letu kama mahali ambapo Mungu alipenda tuishi sisi na vizazi vyetu.

  kama lilivyo jina langu, ndivyo ilivyo dhamira yangu pia. niko katika matayarisho ya kugombea ubunge katika uchaguzi mkuu ujao. sina shaka kuwa wana JF watanisaidia kwa namna moja au nyingine ktk kufikia azma yangu hii kupitia mchango yao ya mawazo, ushauri nk.

  nimekuwa nikitoa mawazo yangu siku za nyuma kupitia tovuti ya gazeti la Tanzania Daima, lakini cha kushangaza wahusika wameamua kufunga fursa ile bila hata kuwashirikisha wadau. nadhani yoyote mwenye kujua faida za kupashana habari hawezi kamwe kufikiri kupunguza fursa za habari na majadiliano.

  nashukuru sana na natangaza rasmi kuwa sasa nimeingia JF

  Mungu ibariki Tanzania
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…