KATIBU wa CCM wa Wilaya ya Tarime, Livingstone Lusinde, amelalamikia viongozi wa chama hicho wilaya ya Chamwino, Dodoma kumruhusu mbunge wa Mtera, John Malecela 'kukampeni' kabla ya wakati...
Inasemekana kuwa Kampeni za ubunge zimeanza kwa mbunge wa jimbo la Monduli kugawa tisheti makanisani. Ilikuwa jumapili ya tarehe 21/3/2010 niliposhikwa na butwaa kuona Lowasa, mkewe Rejina na...
Ninajiuliza kila siku, hasa baada ya mwenendo wa Mrema kutokueleweka kisiasa.
Kuanzia pale alipoamua kuwa upande wa CCM wakati wa Msiba wa Marehemu Chacha Wangwe, na kuwa kinyume na Chadema...
President Jakaya Kikwete
President Jakaya Kikwete left for Namibia yesterday afternoon for a three-day state visit during which, among other things, he is scheduled to attend the...
Nimepokea habari hizi za unyeti wa ndugu yetu Dr. Aziz Ponary Mlima ambaye nusura aukwae ubalozi wetu kwenye mojawapo ya nchi za Scandinavia. Bahati mbaya (sijui ni kwake au kwa nchi) ni kuwa...
Chanzo muhimu cha maji kwa wakazi wa Manispaa ya Arusha kimefungwa. Chanzo hicho chenye uwezo wa kutoa lita za maji 110,000 ( Mita za ujazo 110) kwa saa kimefungwa baada ya maji yanayotoka hapo...
Mwalimu Samwel Nyamsangya, wa Shule ya Msingi Saranga iliyopo Kimara Temboni, jijini Dar es Salaam, akiwafundisha wanafunzi 200 wa darasa la pili jana huku wakiwa wameketi chini kutokana na...
Licha ya kuongoza Afrika Mashariki, Tanzania inashika nafasi ya 12 katika ya nchi 50 za barani Afrika na nafasi 97 duniani kati ya mataifa 167. (Nukuu gazeti la mwananchi leo).
Pamoja na mbembwe...
NI MARA TATU YA WIZI WA EPA;
DCI MANUMBA ASEMA TAARIFA ZINAFANYIWA KAZI
Ramadhan Semtawa
WATU wasiofahamika wameghushi nyaraka za malipo na kuiba zaidi ya Sh300 bilioni katika benki tatu...
Vice President Dr Ali Mohammed Shein addresses the 28th Southern African Power Pool Executive Conference in Dar yesterday. With him (from-R) are Energy and Minerals minister William Ngeleja and...
Jamii inaongozwa na ujumla wa mifumo na taratibu zinazoathiriwa na belief systems ( imani za kidini, mila, desturi, haki na uhuru wa kujieleza au kudai haki etc).
Nchi nyingi hasa za Kiafrika...
Hospitali ya Muhimbili inategemewa na watu wengi na kutokana na umuhimu wake imekuwa ni hospitali ya rufaa si kwa mtindo wa kawaida bali pia kwa magonjwa ambayo yangeweza kuhudumiwa katika...
The president, Jakaya Kikwete, will retain his personal popularity in the final months of his first term, despite slower economic growth, continued corruption scandals and high inflation.
The...
Wadau, Sheria mpya iliyosainiwa kwa mbwembwe ndiyo hiyo. Bado utekelezaji wake, maana Watz kwa kutunga Sheria hatujambo!
http://www.parliament.go.tz/Polis/PAMS/Docs/6-2010.pdf
Mpaka sasa sijaona ishara zozote za JK kushindwa uchaguzi..Je kama kutolewa kifanyinye nini?Ajitokeze mtu ndani ya CCM au upinzani waungane kuwa na nguvu moja?
Je kwa wabunge na Madiwani...
Tumesoma kwa mshangao na masikitiko makubwa habari iliyochapishwa jana, Jumatano, Machi 10, 2010, katika ukurasa wa kwanza wa Gazeti la Tanzania Daima chini ya kichwa cha habari JK ageuzwa...
Na Lula wa Ndali Mwananzela (Raia Mwema)
President Kikwete and King Mswati III at a SADC meeting in Swaziland. Photo/FILE
SAUTI zao zinazidi kupaa na mlio wake unazidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.