KATIBU Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro, Hilda Gondwe anadaiwa kuomba auziwe kwa Sh6 milioni gari la serikali aina ya Toyota Landcruiser VX maarufu kama shangingi lililonunuliwa miaka mitatu...
Kaka William,
kama tulivyoongea kwa simu, nakutumia details za huyo dada aliyepotea utuwekee kwenye blog ya jamii, na pia uitume kwa jamii ya watanzania waliopo Los Angels.
Natanguliza shukrani...
Na Waandishi wetu, Mwanahalisi
RAIS Jakaya Kikwete yuko hatarini kubebeshwa kashfa mbili kubwa, MwanaHALISI limegundua.
Kashfa ya kwanza inahusu chaguo lake la Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana...
Jamani naona aibu, ati Rais anadai alikuwa anacheza kidali po na maaskofu na mashekhe kuhusu Takrima!
Ukisikia mtu mzima hovyo, ndiye huyu anayelishikilia kasia la kuiongoza Tanzania.
Yaani...
Kila mfanyabiashara atakiwa kutoa Sh. milioni 10
Lowassa aongoza kamati ya kutembeza ?bakuli?
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea "kuwakamua fedha" wafanyabiashara na wanachama wake mkoani...
Kule Muheza mmojawapo wa watu wenye kutaka kugombea kule ni Balozi Andrew Daraja na Mbunge wa sasa Herbert Mntangi. Lakini siku chache zilizopita (kuanzia hii tarehe 19 Mei) kuna tetesi kuwa...
WanaJF mna maoni yeyote kuhusu hili?
Najaribu kujenga conclusion kuwa CCJ ni mradi wa CCM.
Najua kuwa CCM inafanya kila jitihada kuhakikisha haiondoki madarakani. Mojawapo wa mbinu wanazotumia...
Naomba support yenu!
Let's be true patriots!
Tunajua mengi sana kuhusu nchi hii, tumediscuss topic nyingi sana kuhusiana na maendeleo ya nchi yetu.
Wito kwa wanaJF wenzangu: naomba tuanze...
Kama kuna nchi ambayo raia wake hawaoni uhusiano wa uongozi na maisha ya kila siku basi ni TANZANIA.Hebu angalia masual na matukio haya ?SI KIPIMO TOSHA kuwa tunahitaji kiongozi mbadala kama si...
WAKATI wahisani wakishikilia msimamo wao wa kukataa kutoa kiasi cha dola za Marekani milioni 220 ilichopunguza katika bajeti ya mwaka ujao wa fedha unaoanza Julai, serikali imeanza kutoa kauli za...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimekishutumu Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa kimeanza mkakati wa...
Kwa nini serikali haikuonyesha ghadhabu kali kwenye suala la
Richmond?
Ziko wapi ghadhabu za serikali kwa waliohusika na rushwa katika
ununuzi wa rada?
Zipo wapi ghadhabu za serikali kwa...
Wana jamii asubuhi hii wakati napitia magazeti, nimeona kichwa cha habari kikisema "kuelekea kampeni, Ikulu yazui mawaziri kwenda nje ya nchi...... Hii ikanishtua kidogo, nikasema ngoja niiweka...
Mimi nimpenzi wakusikiliza taarifa za habari TBC, ila kila ninapo msikiliza mkuu wa mkoa kauli zake uwa nahisi anafikiri watanzania ni wajinga na wasio na akili. Kwamfano leo ktk taarifa ya habari...
Chanzo: Tanzania Daima
na Irene Mark
CHAMA Cha Jamii (CCJ), kimejiandaa kujibu kauli ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, John Tendwa, ya kuwa hana pesa za kufanya uhakiki wa majina ya...
Wadau na wapenda mabadiliko....natangaza rasmi nia ya kugombea ubunge jimbo la UKONGA kwa tiketi ya CHADEMA.
Michango ya mawazo, ushauri na ki-mikakati inakaribisha!
Sihitaji michango ya pesa kwa...
Miaka zaidi ya 40 ya uhuru bado wagonjwa na akina mama waliojifungua wanakaa chini kwa ukosefu wa vitanda. CCM mnajivunia nini ktk hali kama hii?? Hamuoni aibu mnapokwenda kutibiwa nchi za watu na...
Ndugu Zanguni nimepata habari na ningependa kuziweka hapa kama Alert, nimeongea na mkuu mmoja wa shule ya Msingi akaniambia kwamba Pesa ya MMEM mpaka mwezi huu wa may ilikuwa bado haijagawiwa kwa...