Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

TOWARDS THE SECOND MWALIMU JULIUS NYERERE INTELLECTUAL FESTIVAL WEEK We are about to commence the Second Julius Nyerere Intellectual Festival (12 – 15 April 2010). Following a successful...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwenyekiti na katibu wa CCJ, leo walikuwa wageni wa WAPO redio ktk kipindi cha meza ya busara, nilicho kipata kutoka kwao, zaidi ya kunipotezea muda wa kuwasikiliza, ni kubaini udhaifu mkubwa wa...
0 Reactions
371 Replies
34K Views
taifa linaendelea kuibiwa na mafisadi wageni na wazawa, umaskini unaendelea kushamiri, amani inaelekea kutoweka mfano mara, viongozi macho yote kwenye uchaguzi ujao, je umaskini wa watanzania...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
NCCR yadai CCM wameiba kaulimbiu yao CHAMA cha NCCR Mageuzi kimeitaka CCM kuacha kutumia kaulimbiu ya “Pamoja Tutashinda” wakati wa kuhamasisha uchangishaji wa fedha za kampeni zao kwa madai...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mpango wa usajili wa wanachama wa CCM juu ya kuwa ni mpango wa kisasa lakini kwa upande wa Zanzibar mpango huu utakuwa ni tishio kwa wafanyakazi na wafanyabiashara. Litakuwa tishio kwa vile sasa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nasikia Mahakama ya Kisutu imemwachia huru
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Let see.. Nna swali MUHIMU. Linaeza kuonekana la kijinga..lakini hio haliondoi validity yake. and the question is,,. WHY DO WE CHOOSE COMPETITION OVER COLLABORATION? Chukulia mfano wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Huu ni msemo wa wahenga, hasa unatufundisha kuwa Motto hushabihiana tabia na baba yake ama mama yake Raisi ndiye kiongozi mkuu kwa mfumo wa serikali ya Tanzania Ikiwa ana watoto wengi kwanzia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ubepari ule wa asili kabisa una matokeo mengi mazuri na mabaya; nitawaacha wengine wayazungumzie mazuri lakini lakini itoshe miye kusema tu kuwa mojawapo ya matokeo mabaya ya ubepari ni mgongano...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau JF, Jamani nimesoma kwenye Gazeti la Mwanachi la jana 10/4/2010 kwamba huyu mama ambaye alikuwa Katibu Mkuu wa UWT, amepewa Ukuu wa Wilaya ya Tandahimba. Sasa hii imekaaje,Kule UWT...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
leo ccm wamezindua mpango wa kutuma pesa kwa njia ya sms, mpango huu ulizundiliwa kwa mara ya kwanza na chadema miezi kadhaa iliyopita. kitu cha kushangaza na kusikitisha ni hii excessive...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni utaratibu ambao sijawahi kuuona kwa hapa kwetu Tanzania. Imeripotiwa na vyombo vya habari nchi kuwa Raisi Kikwete aliwatuza pesa wacheza ngoma wote waliokuwa wanatumbuiza......na hali kadhalika...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
WanaJF, kabla sijatoa machache yangu kuhusu huyu mkongwe (septugeanarean) ni bora mkasoma makala hii iliyotoka ktk Mwanahalisi wiki iliyopita. NEC isisubiri uchaguzi kuvurugika Na Mbasha...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Greetings dear friends! It has been months since I was here last time. M has received the following documents from reliable and impeccable sources that wish Tanzanians, the media and our...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Hivi karibuni Mh. Pinda ulitembelea nchi za Asia ikiwemo India. Kwa muda mrefu umekuwa ukilalama kwamba watendaji wenzako ktk serikali wanapenda magari ya gharama kubwa kama vile Landcruiser VX na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
wakuu wenye influence kisutu tupatieni latest za kesi ya mseminari amatus liyumba, naambiwa mh. Hakimu ,kasimongo anaendelea na kusoma hukumu baada ya argument za pande mbili ktk kesi ya liyumba...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
1. Sungura textile....mmeua mkauza 2. Mwatex mmeua mkauza 3. Tipper mliua 4. Killitex mmeua...mkanywa 5. Bandari ...mmeuza 6. NBC...mmeuza mkala 7. TTCL...mmeuza mkala 8. General...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Habari kwamba mitambo ya kufulia umeme ya Dowans imeshauzwa kwa kampuni ya kigeni wakati sakata lao na Serikali ya Tanzania halijaisha ni habari za kukera, kuuddhi na zenye kukejeli uwezo wa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
  • Closed
Heshima zenu wakuu, Baada ya kwikwi za hapa na pale (marekebisho ya nguvu), leo tumehitimisha kabisa sehemu ambazo tunaamini zilihitaji marekebisho ya nguvu (kwenye server). Tunasikitika kwa...
0 Reactions
145 Replies
13K Views
Wapendwa wanaJF mpya, mnakumbuka kuwa mh Rais wetu JK aliahidi ajira zaidi ya Milioni moja wakati anagombea urais mwaka 2005. Mnakumbuka pia kwamba kuna wakati Waziri Juma Kapuya aliwahi kutamka...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom