Duh! Kumbe Brazil imelipwa kuja kucheza Bongo!

Duh! Kumbe Brazil imelipwa kuja kucheza Bongo!

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Posts
5,694
Reaction score
2,588
2500a2s.jpg

"The Tanzanian Football federation admits to paying several million dollars to persuade Brazil to play the Taifa Stars"

Safari bado ni ndefu kwa nchi hii kwa kweli! Ila tactic nzuri kwa uchaguzi!

Credit:
Metro Sport - UK
 
"The Tanzanian Football federation admits to paying several million dollars to persuade Brazil to play the Taifa Stars"

Safari bado ni ndefu kwa nchi hii kwa kweli! Ila tactic nzuri kwa uchaguzi!
na kibaya zaidi wanaficha hawataki kusema ni amount gani....wanaogopa wafata upepo wasishtuke..kaaaazi kweli kweli!!
 
lets get the figure. the after the game we look at the costs and Benefits. Labda twaweza pata faida
 
Yeah, this was obvious. Kitu kaa hiki kilifwahi fanywa na National al Ahly ya Misri wakawalipa Real Madrid hela wacheze nao.

Tatizo langu ni matumizi mabaya ya fedha za umma.

Kazi kwelikweli.
 
kama wamelipa Tsh 400m, wategemee kupata faida ya Tsh 200m, kwa sababu mpaka sasa records zinaonesha mapato ya juu ya ule uwanja si zaidi ya Tsh 700m, hivyo tuangalie biashara wanayotaka kucheza.
 
kama wamelipa Tsh 400m, wategemee kupata faida ya Tsh 200m, kwa sababu mpaka sasa records zinaonesha mapato ya juu ya ule uwanja si zaidi ya Tsh 700m, hivyo tuangalie biashara wanayotaka kucheza.

Several million dollars! Minimum itakuwa kama BILLION MBILI shillingi! Kwenye nchi ambayo watoto wanakaa chini darasani.
 
The Tanzanian Football federation admits to paying several million dollars to persuade Brazil to play the Taifa Stars"

Huenda hata kiingilio kikawa kwa dollars!
 
sasa mkuu si tunataka kuwatumia brazil kutangaza nchi kwenye utalii? ndio tunawapa fungu lao kwa kutupa nafasi ya kurusha tangazo letu duniani? inamana ulitegemea wao wapoteze hela zao kuja kucheza na sisi kwa kiwango kipi mkuu?
 
kama wamelipa Tsh 400m, wategemee kupata faida ya Tsh 200m, kwa sababu mpaka sasa records zinaonesha mapato ya juu ya ule uwanja si zaidi ya Tsh 700m, hivyo tuangalie biashara wanayotaka kucheza.

lengo ni la kwenye mabo ya utalii sio siku hio ya mechi tu hapana wameangalia kwa mbeleni kwamba nchi itajitangaza kupitia mechi hii na kuweza kuwaleta watalii.
 
Kwani tatizo nini wakija???
si sisi hatuna vipaumbele??? mi siwalaumu ila naisikitikia nchi yangu... usije kutakiranja mkuu ndo kashinikiza....au mmesahau kuwa enzi za ufunguzi wa lile li uwanja aliahidi na kutaka kulileta lile litimu la kule Ulaya???

Kwa kupenda makuu sisi...hatujambo
 
Wakati Shilingi ya Tanzania inazidi kushuka thamani wrt US $, Watanzania wanaimport zaidi kuliko kuexport! Kazi kweli kweli!
 
ninamshauri JK safari hii kama kweli nia yao kutangaza nchi basi wasiandike jina la robinho kwenye jezi yetu ya timu ya tafia badala yake waandike majina ya vivutio vyetu kwenye kila jezi.na watoe jezi kwa wachezaji wote anaowapenda raisi hio timu ya taifa kila mchezaji ni mzuri hapo na anawakilisha nchi yake.
 
na kibaya zaidi wanaficha hawataki kusema ni amout gani....wanaogopa wafate upepo wasishtuke..kaaaazi kweli kweli!!

Na si ajabu pesa hizi zimetolewa na Serikali. Hao TFF siku zote huwa wanalalama kuwa hawana pesa wakati mwingine hata za kuiweka timu ya Taifa kambini, sasa hizi pesa wamezitoa wapi? SMDH!
 
"The Tanzanian Football federation admits to paying several million dollars to persuade Brazil to play the Taifa Stars"

Safari bado ni ndefu kwa nchi hii kwa kweli! Ila tactic nzuri kwa uchaguzi!
Several million dollars! Wamezitoa wapi?
 
Binafsi roho imeniuma sana kusoma hii kitu, hawa jamaa ni masuperstar hadi uwalete kwa malipo na wakiri kuwa wanalipwa ni hela nyingi tunazungumzia wakati tuna wazazi wanalala nje kusubiri kuzalishwa. Haki ya mungu for the first na kiri i have lost total confidence na Kikwete.

Tafadhalini wana CCM kikwete mtoeni jamani.
 
nilikua najiuliza several days ago,iweje brazil waje tuuu apa bongo?kuna kitu behind
kumbe jibu lishapatikana,aisee moyo unaniuma sana
na haya maisha yetu
 
Brazil!!! -- Tanzania!! Respective economies are a world apart!!! Kweli Mwenye nacho hujiongezea na asonacho hupunguziwa! Tena kwa asonacho hii inajileta yenyewe tu -- kwa hiari!
 
Brazil!!! -- Tanzania!! Respective economies are a world apart!!! Kweli Mwenye nacho hujiongezea na asonacho hupunguziwa! Tena kwa asonacho hii inajileta yenyewe tu -- kwa hiari!

and football ranking..............1st vs 108th
 
Back
Top Bottom