Wito kwa viongozi wa CHADEMA

Magezi

JF-Expert Member
Oct 26, 2008
3,359
692
Wakati huu kwa kuwa chama cha mafisadi CCm na serikali yake wanaanza wizi mwingine kupitia ziara eti wanaenda kuwaeleza wananchi ni nini wamewaibia, nawaomba viongozi wa CHADEMA chapisheni vijarida vyenye picha kama hii na zingine na ninyi mzunguke kuwafungua macho wananchi.

View attachment 10657
Picha: Wamama waliojifungua wakiwa wamekaa chini ktk hospitali ya mwananyamala

watotochini.jpg
 
Kila kwenye mikutano ya CHADEMA inatakiwa kuwekwe mabango yanayoonyesha uzembe wa CCM na serkali yake kwa picha na vipeperushi.
 
Uongozi wa kisultani na kikabila hatuhuruhusu Tanzania Abadan!!! Shafisheni chama cha Chadema kwanza tuondoe viongozi vilaza ambao hawakusoma, tupige vita ukabila, udini na umimi
 
Uongozi wa kisultani na kikabila hatuhuruhusu Tanzania Abadan!!! Shafisheni chama cha Chadema kwanza tuondoe viongozi vilaza ambao hawakusoma, tupige vita ukabila, udini na umimi
Tupige vita kwanza udini ulio katika sisi m kabla ya kwenda kwingine maana wao tunao ushahidi maana uko katika sera zao you bull shit.
 
Pia katika hilo ni vema kabisa wakawaeleza wananchi kuwa wasitegemee hiyo CCJ(m) kwani viongozi wenyewe kama ndiyowao wakina salim, sumaye na wengine mbona itakuwa ni mvinyo ule uule kwenye chupa mpya
 
Shalom kwa hapa CCM ilipo tufikisha ni afadhali hata hiyo chupa mpya japo mvinyo wa zamani!

Hawa chukua chako mapema wanatumaliza, maisha yanazidi kuwa magumu kila kukicha , shilingi inashuka thamani ili hali haipatikani! Wao na vitukuu vyao wanazidi kujilimbikizia mali, na kun'gang'ania madaraka kwa gharama yoyote ile, TUMECHOKA!
 
Wakienda huko watachukua tena hawa tena wala hawaitaji muda wa kujifunza hawawanajua kila kituwataanza tu mapema. hawa mvinyo ule ule wanaitaji kidogo kuchanganyika na wataalamu kama wakina slaa ambao zamili zao zinawasuta
 
Uongozi wa kisultani na kikabila hatuhuruhusu Tanzania Abadan!!! Shafisheni chama cha Chadema kwanza tuondoe viongozi vilaza ambao hawakusoma, tupige vita ukabila, udini na umimi

Mbona CCM ndiyo inayotupeleka kwenye usultani kwa kuwateua vigogo na watoto wao tuu!
Ukabila unaotajwa CHADEMA haupo ila ujinga wa baadhi ya maeneo kutokujiunga na chadema kwa sababu ya utumwa wa mawazo kwamba kila kitu wafanyiwe.
Ili tujikomboe lazima mawazo hasi katika ukombozi yaondoke vichwani mwa wengi.
Ukiona vyaelea ujue vimeundwa!
 
Inasikitisha kuona mfano vijana eti hawajajiunga na vyama vya upinzani. Binafsi naamini kama vijana wote Tanzania wanaojua kusoma na kuandika wakijiunga na opposition parties na wakapiga kura zao kwa wagombea wa vyama hivi walio makini nchi hii inaweza kubadilika.

CCM tayari wametuletea u-sultan, angalia ridhiwani, nape, sijui nani ..makamba, .....sumaye,.......lowasa, na wote hawa wanawekwa pale ili kulinda mali za wizi za baba zao. Ukiuliza ktk mikataba mingi ya makampuni na mashirika mbayo yana utata unakuta ni wakubwa/washenzi hawa wa CCM wana maslahi yao pale sasa ili waweze kulinda lazima wawaweke watoto wao.

Vijana sasa tuamke tupigane na hawa watoto wa wezi.... nahakika tukiamua tunaweza kushinda vita hii.
 
Back
Top Bottom