Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ridhiwani, Januari walikwina? Na Ezekiel Kamwaga - Imechapwa 26 May 2010 Waraka wa Wiki ALIPOUAWA mtawala wa Urusi, Nicholaus II, 17 Julai 1918, mauti hayakumfika yeye peke yake...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ninaitwa Bandora ni kijana niliye tayari kwa kulitumikia taifa langu....Baada ya kutafakari kwa mda mrefu juu ya namna ya kulitumikia taifa hili nikaona njia iliyo rahisi na wazi ni kupitia nafasi...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
KATIKA kile kinachoonekana ni kujipanga vema na kujihami kwa maswali magumu wakati wa kampeni za uchaguzi, Ikulu imetoa waraka wa kuzuia mawaziri kusafiri nje na badala yake kuwaagiza kuzunguka...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Alipoingia madarakani mnamo mwaka 2006, Rais Jakaya Mrisho Kikwete alionekana dhahiri kuwa ndiye mkombozi wa wananchi aliyekuwa akitarajiwa. Alifanya ziara nyingi za kushtukiza, katika kile...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Uratibu na Bunge), Philip Marmo, kusema kwamba hakitapata usajili wa kudumu kabla ya uchaguzi huo. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama tulivyofanya siku za hivi karibuni kuwazomea mawaziri uchwara ambao wanakuja ktk vijiji na miji yetu eti kutueleza mafanikio ya serikali ya awamu ya nne. Nawaomba wananchi na watanzania...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
SERIKALI imesema kuwa ukuaji wa pato la taifa katika unakadiriwa kuongezeka na kwamba pato halisi litakua kwa asilimia 7 katika mwaka 2010. Akiwasilisha taarifa ya mwelekeo wa uchumi kwa mwaka...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Kutokana na mahojiano aliyofanya jana na Clouds Fm, Hosea wa TAKUKURU ameonyesha kuwa anadhamira kubwa ya kupambana na rushwa, anayemkwamisha ni DPP, wadau mnasemaje?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa mantiki yake uhuru wa kutoa maoni mzuri japokuwa una mipaka (Rejea Ibara ya 18 ya Katiba ya Nchi)! Hata hivyo tumeona matukio kadhaa ambayo, yumkini yamesababishwa na uhuru tulionao, esp...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana-jamvi nina shauku ya kujua siku za TUCTA 20 bado kutimilika tu? maana naona hata serikali haina mpango wa siku 20 za TUCTA. Labda nilipitwa na news tuhabarishane.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Chama cha mwamko mpya wa ujenzi wa taifa CCJ kinaanza harakati za kukutana na kuzungumza na wananchi katika kujitambulisha zaidi kwa wananchi wakati kinaendelea kusubiri usajili wa kudumu. Hadi...
1 Reactions
358 Replies
27K Views
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, John Magufuli, ameiponda dhana ya polisi jamii inayotumiwa na Jeshi la Polisi katika kupambana na uhalifu kwa maelezo kwamba utaratibu huo hauwezi kusadia...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Kuna mitazamo tofauti kuhusu ni kwa nini msajili wa vyama vya siasa nchi hataki kukisajili Chama Cha Jamii (CCJ). Kwa mitazamo yangu na uchunguzi binafsi ndani ya ngazi za juu za uongozi wa CCM...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Tumekagua hoteli, uwanja na kila aina ya utaratibu kwa ajili ya timu, tumeridhika na ndiyo maana tumeingia mkataba,” alisema. Brazil watafikia hoteli hiyo ya Movenpick. Mwenyekiti wa Kamati ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tendwa apondwa kwa kutoisajili CCJ na David Frank, Arusha CHAMA cha Mawakili Tanzania (TLS) Mkoa wa Arusha, kimemkosoa msajili wa vyama vya siasa nchini John Tendwa kwa kukataa kukisajili...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
KATIKA kujiimarisha kwa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinatarajiwa kununua na kusambaza magari katika mikoa mbalimbali nchini ndani ya wiki...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MBUNGE wa Makunduchi Zanzibar, Abdisalaam Issa Khatib (70), amedai katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwamba Ikulu ilitoa ridhaa ya kuendelea na mchakato wa kumpata mzabuni wa ukaguzi wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Pesa wanazolipwa Wabunge ni rushwa wanayopewa na Serikali ili waburuzwe kwa hiari yao bila ya kupinga kitu. Ndio maana utaona Mbunge kasimama anaibwatukia Serikali lakini mwisho anamalizia kwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
30th May 10 Daniel Ondigo Moshi Urban Member of Parliament Philemon Ndesamburo shed tears on Monday as Pasua ward women in Moshi said they often depend on light from cell phones at night...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Rais JK alipokuwa anawahutubia wazee wa Dar es salaam (CCM) alisema wazi kuwa hajali kura za wafanyakazi yaani yuko tayari kukosa kura 350000 za wafanyakazi. Ni kauli iliyojaa kiburi, ubabe na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…