Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

na Martin Malera VIGOGO kadhaa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakiwamo wabunge machachari wanakabiliwa na hatari ya kufukuzwa uanachama kwa tuhuma za kujihusisha na Chama Cha Jamii (CCJ) ambacho...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
When will we ever learn:mad: 'Tourism is a curse to us' The Masai have been herding cattle across the great plains of Tanzania for generations, their nomadic lifestyle helping to preserve the...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
2010 general election countdown: New controversy over ballot paper printing By ThisDay Reporter 29th March 2010 Minister of State, Prime Minister's Office (Policy...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MWENYEKITI wa Chama Cha Jamii (CCJ), Richard Kiyabo, amevamiwa na kuporwa mkoba uliokuwa na nyaraka za chama hicho kinachopigania usajili wa kudumu. Kiyabo, anadaiwa kuwa alivamiwa na watu wanne...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
TAARIFA KWA UMMA Tarehe 17 Machi, 2010, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete alitia saini Muswada wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi na hivyo Muswada huo...
0 Reactions
50 Replies
6K Views
SUBCITY - BY TRACY CHAPMAN People say it doesn't exist 'Cause no one would like to admit That there is a city underground Where people live everyday Off the waste and decay Off the discards...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
ZANZIBAR haiwezi kujengwa bila ya kuwepo umoja na mshikamano miongoni mwa wananchi na ushiriki wa viongozi wa Chama Cha CUF katika shughuli za miradi ya maendeleo ni mafanikio ya umoja huo. Rais...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
What is the stance of overhyped CCJ on EAC? Remember, there is NO 'undo' button on EAC effects this time around. Mlenge
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana Jamii, nimefikiri nimeona hakuna haja ya kuipa kura yangu CCM, sababu zangu za msingi ni hizi 1. Chama kisichokuwa na lengo la kuwakomboa wananchi wake kutokana na ujinga, maradhi. 2...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Najaribu kufikiria umuhimu wa kuwa na demokrasia sijaweza kupata jibu. Kwa kuwa nchi hii inakuwa na chaguzi kila baadaya ya miaka mitano…na kwa kuwa baadhi ya viongozi wengi wamekuwa wakipata...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
mwaka huu ama?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Najua kwamba Salma Kikwete ni mke wa Rais J.M.Kikwete kinachonisumbua ni nafasi yake katika utumishi wa Umma maana mama huyu amekua akifanya ziara nyingi nchini sijui ni za kiserekali, binafsi au...
0 Reactions
109 Replies
12K Views
baada ya kupokea misaada yenye thamani ya shilingi milioni 51 toka Uchina. (Picha na Haki Hakingowi) Rais Jakaya Kikwete Apokea Misaada Kutoka China...
0 Reactions
93 Replies
10K Views
Kijana John Mnyika, Naomba utueleze una mpango,mikakati gani ya kutatua kero za Wananchi wa Ubungo ikiwa ukishinda Uchaguzi?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
GOLI NI GOLI HATA LA MPENDAZOE NALO GOLI! Na. M. M. Mwanakijiji Kwenye kandakanda kuna magoli yanaudhi sana na yanakera. Kuna magoli ambayo mtu unakubali tu kuwa goli hilo "halina utata"...
0 Reactions
187 Replies
17K Views
Leo CCM itawasimika makamanda wake wa mkoa wa tanga katika mkutano utakaofanyika Mombo, Tanga. Wanaotarajiwa kusimikwa ni: Mzee makamba (katibu mkuu wa ccm): Kamanda wa mkoa wa Tanga, Mh...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
WanaJF, nawaletea taarifa ambayo niliitoa jana kupitia http://mnyika.blogspot.com na katika Kongamano la Vijana la Demokrasia na Maendeleo Jimbo la Ubungo. Nawatakia mjadala mwema. Ni wakati wa...
0 Reactions
90 Replies
9K Views
Zile harakati za kuwa na Muungano ama ushirikiano wa vyama vya siasa katika chguzi umekwama wapi? Wapinzani walivyoanza kuzungumzia swala hili nilikuwa na matumaini makubwa sana kwamba sasa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna taarifa kuwa Mbunge huyu machachari amekuwa kigogo wa kwanza kabisa toka CCM kwenda CCJ. Mbunge wa Jimbo la Kishapu (CCM) Fred Mpendazoe (katikati) akitangaza kwa waandishi wa habari...
0 Reactions
330 Replies
33K Views
Hivi karibuni ,tarehe 2 Machi 2010 Naibu Waziri wa TAMISEMI Mhe Aggrey Mwanri alizindua ukarabati wa kisima cha maji katika Jimbo la Kibakwe.Wakati anazindua maji yalikuwa yanatoka kwenye mabomba...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom