Wasalaam wana JF,
Na kwa Mh. J.K, mosi, kheri ya miaka 20 ya ndoa japo watoto wamepita miaka hiyo 20 ; Pili, nawatakia kheri katika kuijongelea jubilee ya Silver ya ndoa yenu! Mungu na awajalie...
Habari zilizopatika na ni kuwa DCs wamapanguliwa na wengine kustaafishwa bila shaka tuna wanachama wa JF waliopewa SHAVU.
RAIS KIKWETE AFANYA MABADILIKO YA WAKUU WA WILAYA
RAIS Jakaya Kikwete...
Makamba amtaka Tambwe atubu
2009-03-26 12:32:29
Na Thobias Mwanakatwe, Mbeya
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Yusuf Makamba, amewataka Hizza Tambwe na Lucy Rutainurwa kutubu...
Chadema yalipua mawaziri wawili
2009-03-27 11:13:27
Na Richard Makore
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimewalipua mawaziri wawili na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme...
Tanzania has collected only $1 million in income tax from foreign mining companies even though they exported nearly $3 billion worth of gold over a four-year period, a new report has revealed.
As...
Tahariri:
Mwanahalisi
KATIBU Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Chiligati amejenga mazingira ya kutumbukiza taifa katika janga kubwa la vita.
Aliwaambia waandishi wa habari mjini...
Heshima Mbele,
Kwa mlio Nyumbani na ambao mmeweza kusoma gazeti la leo la Mwananchi naomba mtupe habari zaidi sababu mie nimepewa kwa kifupi tu na Mhariri wa Gazeti moja la Nyumbani.Habari hiyo...
Kuna taarifa kwamba wakati wowote ndani ya siku mbili hizi Mzee John Malecela anatarajiwa kutoa tamko zito ambalo linaweza kutikisa nchi na Chama cha Mapinduzi (CCM). Lakini pia tamko lake...
JK akiri kushindwa, Tutamsaidia - Mbowe
• Asema taifa linapita katika majaribu mazito kiuongozi
na Edward Kinabo
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na...
Kuna habari kwanba mkoani Mbeya hivi sasa kuna mauaji yakutisha, mauaji hayo yanasadikika kuwa ni ya imani zakishirikina, wafanya biashara wa mabucha ya nyama ndiyo washirika wakuu, inasemekana...
mambo ya kuzingatia:
a. Baada ya CCM, CUF ni chama cha pili kinachopokea ruzuku nyingi toka serikalini.
b. Pesa hizo ni nje ya wanazopata kupitia wafadhili, miradi yao mbalimbali (kama wanayo)...
Kwa nini CHADEMA isiwapeleke mahakamani wahusika wa ufisadi ?
Chadema wanasikika wakilipua na kutangaza kwenye mikutano yao ya operesheni sangara kuwa fulani na fulani ni mafisadi wamesababisha...
Ningependa asiwe BASHIR PEKE YAKE. Nataka kumfikisha Rais Mstaafu B.W. Mkapa wa Tanzania pamoja na washirika wake ktk mahakama ya Dunia kwa mauaji ya Pemba.
Nadhani nahitaji msaada wa...
Utakuwa ni saa nane kila siku zinatazogawanywa katika vipindi viwili vya saa nne nne kila kimoja. Yaani, kama ni zamu yenu ya kukosa umeme, mtakosa asubuhi kwa saa nne, na jioni kwa saa nne...
1. Dr. Wilbroad Slaa - For sorting out list of shame
2. John Pombe Magufuli - For sorting out illegal fishing
3. Said Mwema - For sorting out grand organized robbery
4. Tundu Antipas Lissu -...
Kutokana na taarifa aliyoitoa katika vyombo vya habari mukulungenzi wa Tenesco kwamba Tenesco inajitoa katika ununuzi wa mitambo ya kuzalisha umeme ya Downs lakini kwa maelezo kuwa kutakuwa na...
Malecela: Ni Kikwete tu 2010
2009-03-26 12:38:03
Na Joseph Mwendapole
Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, John Malecela, amesema kuwa mwanachama yeyote wa CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.