Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

muda huu rais kikwete ameingia bungeni dodoma kuanza mazungumzo na wabunge wa ccm kabla ya kuvunja bunge leo jioni, taarifa ya kinachozungumzwa italetwa hapa keep tuned.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna habari hizi kuwa wakati mwenyekiti wa chama tawala akikaribia kumtangaza mgombea mwenza huko Dodoma 11 Julai 2010 aliongea masuala ya kitaifa na alikazia hotuba kwa kusisitiza kuwa yeye rais...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika tukio la kihistoria tangu kuanzishwa kwa Umoja wa Mataifa 1945, UNGASS ( Baraza kuu la Umoja wa Mataifa) kwa kauli moja tarehe 2/7/2010, walipitisha na kuanzisha chombo kipya au Taasis ya...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Kama CCM ikichukua Zanzibar, Mh. Nahodha hawezi kuwa Waziri Kiongozi. Je ni nafasi gani atapewa? 1. Naibu Waziri wa Mambo ya Nje? 2. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano? 3...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wananchi wenzangu kipindi cha Kampeni kimefika tena - Kipindi cha ulaji , Neema ya muda inafunuliwa Ni kipindi ambacho wananchi mtaonekana ni lulu, mtawaona hao waheshimiwa na suti zao...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mgombea ubunge mtarajiwa kupitia chama tawala (CCM) mkoani Tabora Bwana CLEMENT NSANYAMA, ambaye in PLANNING OFFICER WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO, amembambikiziaa kesi kijana aitwaye October,Bwana...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM ndio wanaingia sasa katika kikao na kwa sasa upepo wa Dk. Shein unaelekea kumng'aria ila kwa CCM lolote linaweza kutokea MATOKEO: Shein kura 117 Bilal kura 54 Nahoda...
0 Reactions
277 Replies
28K Views
Wakuu Nimesoma kwenye blog moja kuwa mmoja wa wanachama wa CCM ametanagaza kugombea jimbo la karamagi ambaye nasye alikwisha sema kutetea nafasi yake licha ya kashfa za richmond,buzwagi nk...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Dhambi ya fedha inatafuna siasa-Mzindakaya Imeandikwa na Ikunda Erick, Dodoma; Tarehe: 15th July 2010 @ 23:00 MBUNGE wa Kwela, Crisant Mzindakaya (CCM), ameaga bungeni jana na kusema vyama...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Angalizo: mbona huwa hagusii 'mavuno ya kudumu' ya madini? au hayasaidii pato la taifa na kupunguza hizo 'inflation'? wachumi mwasemaje katika hili Tanzania Inflation Likely to Slow on Good...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani imenishangaza sana kuona kwamba Chama chenye nguvu, wasomi, sera nzuri leo wanaingia kwenye mtego wa CCM. Wameanza kwa kumtumia Mfadhili wa CCM kupewa fedha za msaada, Chadema...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Ukoo wa Mwalimu Nyerere sasa taabani *Yatima, vitegemezi wake wakosa msaada *Dada yake afariki kwa kukosa nauli ya kwenda Dar *Kikwete,Museveni wafichwa ukweli wa mambo Majira, Na...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
I have been looking at some of the accusations leveled against our First ladies regarding their participation in public life of this country.Some people feel that First Ladies should not engage in...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Hii ni Openda maalum ambayo ni miongoni mwa 'sample' 2,000 zilizoletwa na wana DIASPORA huku zikiwa kivutio kwa Rais Jakaya Kikwete ambapo ametoa oda ziletwe 100,000 zitakazotumika kama moja ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu, habari zenu. Naomba kufahamu, ni zipi tofauti kuu, za kielimu, za kiutendaji, za kiufahamu wa mambo mbalimbali nk zilizopo kati ya makatibu wakuu wa vyama vikuu vitatu vya siasa Tanzania...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hivi jamani what are our priorities? ofisi ya Mbunge mmoja inathamani ya 170 mio. na hapo hatujatoa gharama za huduma zitakaziambatana na kuiendesha kama ya secretary na mlinzi! Kipindi hichi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Here we go again :lying: LOL! and of course he knows he will be gone by then Tanzania plans to move capital to Dodoma in five years 15:48, July 14, 2010 Tanzanian President Jakaya...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Kwa ujumla sielewi sheria gani zinachukuliwa mtu akitaka kugombea ubunge,Labda mtu yoyote yule anaweza kwenda kuchukua form na kujaza basi,Sidhani kama kuna sheria zozote zinaangaliwa kama...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Tanzania ilirejea katika mfumo wa Vyama vingi vya Siasa mnamo mwaka 1992, toka kipindi hicho tumeshuhudia Chaguzi tatu 1995, 2000, 2005 na mwezi October 2010 tunatarajia kufanya Uchaguzi wa nne...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Nawapongeza wanachama 16, wa CCM waliopiga kura ya HAPANA,kwa JK wameonyesha ukomavu wa kisiasa, hiyo ndio demokrasia.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom