Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,751
Wakuu, habari zenu.
Naomba kufahamu, ni zipi tofauti kuu, za kielimu, za kiutendaji, za kiufahamu wa mambo mbalimbali nk zilizopo kati ya makatibu wakuu wa vyama vikuu vitatu vya siasa Tanzania.
Maalim Seif (CUF), Mzee Makamba(CCM) na Wilbroad Slaa (CHADEMA)