Rweikiza atangaza rasmi kumvaa Karamagi Bukoba Vijiini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rweikiza atangaza rasmi kumvaa Karamagi Bukoba Vijiini

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Rutunga M, Jul 15, 2010.

 1. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2010
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,479
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Wakuu
  Nimesoma kwenye blog moja kuwa mmoja wa wanachama wa CCM ametanagaza kugombea jimbo la karamagi ambaye nasye alikwisha sema kutetea nafasi yake licha ya kashfa za richmond,buzwagi nk

  chanzo: ni soma hapa
   
 2. P

  Penguine JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2010
  Joined: Nov 29, 2009
  Messages: 1,159
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 180

  Kwa maana hiyo Rweikiza amekubali kuwa VUVUZELA au ni kutangaza nia tu?

  Kila la kheri Ndg. Rweikiza wa nyumbani,
  ukipata yakwepe maovu aliyowahi kulalamikiwa Mzee wa Kontena Temino.
   
 3. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2010
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  nyegera waitu Rewikiza
   
Loading...