OPENER za Kikwete za Kuwaraghai Watanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

OPENER za Kikwete za Kuwaraghai Watanzania

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kachanchabuseta, Jul 15, 2010.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  [​IMG] Hii ni Openda maalum ambayo ni miongoni mwa 'sample' 2,000 zilizoletwa na wana DIASPORA huku zikiwa kivutio kwa Rais Jakaya Kikwete ambapo ametoa oda ziletwe 100,000 zitakazotumika kama moja ya kampeni ambako zinaimba wimbo wa CCM No.1 ulioimbwa na Kapteni John Komba wa TOT ambaye pia ni Mbunge wa Mbinga Magharibi.

  Source:BONGOWEEKEND
   
 2. b

  blackpepper JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 382
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  inanitia kichefuchefu.......mhudumu akinifungulia nayo bia hiyo Opener silipi.....atalipa JK
   
 3. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  King sijaelewa diaspora iliyotoa ni ya CCM au wote? Kama ni wote kama ilivyokwenye red ni muhimu Diaspora wakumbuke kuwa kuna chadema, cuf, nccr-mageuzi, udp etc
   
Loading...