Ofisi za Wabunge na priorities zetu

Ofisi za Wabunge na priorities zetu

Geza Ulole

Platinum Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
75,682
Reaction score
107,111
Hivi jamani what are our priorities? ofisi ya Mbunge mmoja inathamani ya 170 mio. na hapo hatujatoa gharama za huduma zitakaziambatana na kuiendesha kama ya secretary na mlinzi! Kipindi hichi hicho hatuna mashule wala mahospitali na hata wale walioweza kushinda adha hizo na kufika chuo kikuu hawana ada! Umeme mgao! Hivi tunapochukua 170 mio. x 323 MPs = 54,910,000,000! Hizi ni kufuru wajameni! Hizo ofisi kwanza hazitakaliwa! Hivi hawawezi kupew chumba kimoja kila ofisi za halmashauri kufanyia kazi zao?
 
Back
Top Bottom