Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hivi katiba inasemaje ikiwa Kikwete anabwagwa 2010,je anaweza kugombea tena 2015(kwa sababu ya kuserve one term only?)
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika makala ya Mungu aliyemchagua Kikwete anaruhusu 'madudu' haya?, kwenye gazeti la raiamwema la hivi karibuni, deusdedit jovin anatueleza kuhusu mafundisho ya Machiavelli; kwamba, katika hali...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
:pound: •Wako wapi wale manabii wawaliotufanyisha kwata kwa muda wa miaka mitatu mfululizo bila mafao yoyote? •Wako wapi wale manabii waliotusadikisha kuwa nchi iko vitani? •Wako wapi wale...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani naombeni huyu mkubwa wa Jiji hili atuambie amefikia wapi na hawa mafisadi wa ardhi wilaya ya kinondoni? mbona kimya tena? pia ajaribu kuangalia na wilaya za TMK na Ilala nako kuna uozo pia
0 Reactions
6 Replies
2K Views
MGOMBEA wa Ubunge kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bw. John Mnyika amepitishwa na na chama chake kugombea jimbo hilo kwa asilima 100. Bw. Mnyika alipitishwa na wajumbe wa...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Sorry wanaJF, Sorry mod naomba mniruhusu nitoe ombi dogo... Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, kwa kuzingatia umuhimu mkubwa wa kuwepo kwa timu imara katika kulinda kura zetu, nawaomba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeamua kutumia maneno hayo kwa sababu nina shindwa kupata neno la kutumia badala yake. Si kawaida kuona watu wa namna hii. Mtu huyu si mbinafsi na amejitoa kwa maslahi ya watu wake. Watu wa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Tukiwa bado katika dukuduku ya kuteuliwa Dr Slaa kugombea urais kwa kupitia Chadema swali najiuliza ni yupi anafaa kuwa mgombea mwenza wake, ukitilia maanani kuwa kwa mujibu wa katiba yetu huyu...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Amegawa pesa karibu majimbo yote na kuwaacha wagombea wakigombana wao kwa wao.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hapa sijaelewa kinachoendelea. CCM sio kwamba wanafanya kampeni ya kwelikweli jamani? Ahadi zinazosemwa haziwahusu wanaccm peke yao, kwani bahari inayoahidiwa kupelekwa jimboni kalenga watavua...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Sawa ni haki yako ya kikatiba, kila la kheri...Hivi wale wasomi wote waliokuwa NCCR miaka ile wameishia wapi? Hiki chama kinazidi kuporomoka. Hii toka Daily news THE opposition party...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Serikali imetoa kauli ya kusitisha kuanzishwa kwa Mahakama ya Kadhi nchini na sasa mfumo mpya wa sheria wa kukidhi haja ya jamii ya Waislamu, utaingizwa katika sheria za nchi katika mwaka huu wa...
0 Reactions
65 Replies
7K Views
Amkeni wanachama wa CCM- Mfumo wa Kupiga Kura umekaa kitapeli Kwanza natoa shukrani kwa MM kwa kuleta hoja ya msingi na sasa ni Wakati wa kuwaamsha makada,wanachama wa CCM kwamba huo mfumo wa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
TUNAHITAJI VIONGOZI WALIO WATANZANIA ZAIDI. Utaratibu wa kuwa na dola haujaanza wakati wa enzi hizi za hivi karibuni, bali ni wa muda mrefu sana. Si rai yangu kutumia kalamu hii muda huu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Well the way CCM primaries are supposed to work toward getting candidates for different political offices in the General Elections. Watch this: TAREHE TUKIO...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
As the debate continues on what were the actual economic benefits of Tanzania's hosting of the World Economic Forum (WEF) early this year, it is now emerging that the State House spent a cool...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Pictorial of the arrival of African Heads of State and their congregation at the Commonwealth Resort Munyonyo Kampala for the AU Summit Angola's Jes Eduardo do Santos at Entebbe enroute to...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Na Maggid Mjengwa, Jana nilifika Sweden saa tano na nusu asubuhi nikitokea Dar. Mwenyeji wangu alinipokea Uwanja wa ndege. Alikuja na gari yake inayotumia gesi inayotokana na mabaki ya mazao...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ama kweli watanzania sijui itakuwaje! Napiga picha wajukuu zetu watatuelewaje jinsi tulivyo changia kuharibu nchi tuliyo jaliwa yenye maziwa na asali. Juma pili nikiwa nyumbani, baada ya kutoka...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Kutokana na matukio ya hivi karibuni ya wagombea wengi katika sisi m kukamatwa wakijihusisha na rushwa, hii inatuthibitishia kuwa ni kweli sisi m imejengwa juu ya msingi wa rushwa na ni tatizo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom