JK azungumza na wabunge wa CCM Dodoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK azungumza na wabunge wa CCM Dodoma

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PhD, Jul 16, 2010.

 1. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  muda huu rais kikwete ameingia bungeni dodoma kuanza mazungumzo na wabunge wa ccm kabla ya kuvunja bunge leo jioni, taarifa ya kinachozungumzwa italetwa hapa keep tuned.
   
 2. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,423
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  kwani alikuwa anaenda kuongea na wabunge wa CCM tu? sio kwamba angehutubia bunge lote?
   
 3. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2010
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ni kawaida yao. hivyo sio ajabu ila ni ubanguzi sana kuona wanabaka demokrasia
   
Loading...