WAKATI vyama mbalimbali vikijitokeza kuwania nafasi ya Urais, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakina papara ya kumtangaza mgombea wa nafasi hiyo mapema kwa kuhofia...
MENEJA Uhusiano wa Benki ya NMB, Shyrose Sadruddin Bhanji, amejitosa kuwania nafasi ya ubunge jimbo la Kinondoni jijini Dar es Salaam kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa lengo la kuwa...
The worst dictators named by US organisation
THE SRI LANKA GUARDIAN, June 22, 2010.
http://www.srilankaguardian.org/2010/06/worst-dictators-named-by-us.html
A US organisation which prepared...
Jamani
Mahakama ya Rufani Tanzania imetoa ukumu ya Naibu waziri Maua Daftrai kumlipa mdeni wake 100.7M aliyemtapeli.
Je kwa hili anastahili kubaki waziri. Kosa ni wizi wa kujiaminisha.
Wana JF,
Nilipita mikoani katika safari yangu na kwali niliyo yaona ni mengi sana esp. ktk kinyang'anyiro cha Ubunge kweli kuna makubwa sana mfano mtu yuko mwanza anataka agombee udiwani mwanza...
Natumai wakuu mpo salama,
Kuna jambo limeanza kujitokeza nadhani linaweza kutishia mtaala wa elimu kwani limekuwa linakuwa kwakasi kubwa sana. Hili si jengine bali ni suala la tofauti baina ya...
Ndugu zangu,
Nimeona kule kwa Michuzi kwamba eti Bunge la Tanzania limepewa msaada wa kompyuta, tena zenye thamani ya TShs Milioni 20 tu, toka kwa ubalozi wa Korea ya kusini!!
==============...
Na Muhibu Said
13th July 2010
Hii ni dalili kuwa kuna upungufu wa nakala za Katiba ya nchi na wananchi wana haja ya kujua katiba inasema nini hasa, ndio maana kumekuwa na...
Wakati kipindi cha maswali na majibu kikiendelea sasa hivi, Spika wa bunge Bw. SS alisitisha maswali kwa muda na kutoa kauli kwamba amekua akipokea malalamiko kupitia ujumbe kutoka kwa wabunge...
Eti huyo Pweza anayetabiri katika mipira, akijaribiwa kwenye uchaguzi wa Uraisi Tanzania, then Akaingia kwenye Kopo la Upinzani, CCM watakubali uchaguzi ufanyike kweli?
Jamani inakera ndio maana naona huu upinzani wizi mtupu na thaman kwako ukiwa ndani ya hicho chama ..naona lipumba kwenye tv ya tbc anawahadaa watu kuna rais alianza kugombea toka 1975 amepata...
Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, imeishauri Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, kulifanyia kazi suala la mafuta kuwa la Muungano ama la ili kulitolea...
I doubt if Mr president means what he is speaking. How comes he is fearing of 2015 while several matters currently are at alarting situation? just go throuth the article at
JK ahofia uchaguzi 2015...
MBUNGE wa Kasulu Magharibi, Kilontsi Mporogomyi (CCM), leo anatarajiwa kupandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya Dodoma kwa tuhuma za kusababisha kifo baada ya kumgonga mtembea kwa miguu na...
Wananchi wenzangu, wapiga kura, wapigiwa kura na wapigwa kura 2010. Kuna tetesi zimezagaa kwenye kitaa chetu hapa uswazi, na jamaa wananihakikishia kuwa wamepata nyeti kutoka White House zote...
Mwaka 2010 Tanzania inaingia kwenye mchakato wa kuchagua viongozi wake, kwa miaka mingine mi-5!! Wakati mwingine najiuliza sana nini umuhimu wa kujihusisha na uchaguzi wakati nchi hii haina...
Tanzania inahitaji Raisi mtendaji wa neno, si mchezaji, mnenguaji au mchekaji. Sina maana, kwa namna yoyote ile, kuwa mchezaji, mnenguaji au mchekaji, hafai kuliongoza Taifa letu, ila lazima...
Wana JF, nilimsikiliza mwenyekiti wa TLP, I was realy fed up!!! Jamaa nadhani amepukutika upstairs. Hivi anaweza kuwa ndiye Malaria sugu humu jamvini nini? Hivi akiingia bungeni kupitia (anakodai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.