Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Msomi Ajitosa Udiwani Kata Ya Magomeni 1.Jengo la ofisi ya CCM Kata ya Magomeni. 2.Ndugu Ally Zawadi {kulia} ambaye ni mhadhiri(Lecturer) wa chuo cha usimamizi wa fedha {IFM} akichukua fumu...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Wakuu, naomba kama kuna taarifa ya wagombea ubunge mkoani Tabora, hususan Nzega, Urambo na Igunga .... mwenye taarifa naomba azimwage hapa.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana-JF wenzangu, nisaidieni, maana nimechanganyikiwa. Hivi karibuni vyombo vya habari, hususan magazeti, vimekuwa vikiripoti vituko, vurugu, umafia na ufisadi katika kampeni za uchaguzi za CCM...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanajamvi Naomba tujipe changamoto ya kuchagua any Decsion Making Post/Position nje ya urais. Baada ya kuchagua tutaje vission/mission zetu katika kutekeleza kazi kazi hiyo post. Jaribu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanajfnina kiu ya kujua nani atamrithi dk.slaa karatu.nia zaidi kuweza kufahamu jinsi chadema itakavyo weza kuweka mtu ambaye hatatuangusha,je kuna mwana jf anayefahamu? Help
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani kazi iliyobaki rahisi na tamu ni Ubunge tu!! Wakati Mwenyekiti wa chama Tawala CCM alipokimbiza muswada wa sheria ya gharama za uchaguzi, leo CCM inazidi kujiingiza yenyewe kwenye tanuri...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu wana JF salaamu. Mimi si mwanasiasa, ila naomba ushauri/majibu kwenu. Kutokana na taharifa zinazotolewa na vyombo vya habari, pomoja na baadhi ya post ambozo zimewekwa humu JF, nimekuwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Na Maggid Mjengwa, ZAMANI sana kulikuwa na bendi ya muziki wa dansi ya Kiwanda Cha Urafiki. Iliitwa Urafiki Jazz Band, wana Chakachua. Naam. Wanamuziki wale waliweza ‘ kuchakachua’ ala za...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tunapoelekea kwenye Uchaguzi Mkuu-2010; haya maneno ya Justice Scalia yanamaana kubwa sana kwa wapiga kura wote: "[C]ampaign promises are—by long democratic tradition—the least binding form of...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Je, kauli hii iliyowahi tolewa na Socrates PLATO, mmoja wa wanafalsafa bingwa wa kale wa Ugiriki,inatupa funzo lolote sisi wa Tanzania, hasa katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Aliyekuwa miongoni mwa waasisi na mwanachama ‘front liner’ wa Chama Cha Jamii CCJ, Mashaka Seif, asubuhi ya leo ametangaza rasmi kujitoa CCJ na kuhamia TLP, katika mkutano na waandishi wa habari...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
MWAKA 1919, aliyekuwa Rais wa Marekani, Woodrow Wilson, aliugua kiharusi kilichopunguza uwezo wake wa kufanya kazi. Katika kipindi hicho, mkewe, Edith, inasemwa ndiye aliyekuwa akifanya kazi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mbunge wa zamani wa jimbo la ukonga Mahanga ameamua kurejea jimbo jipya la Segerea baada ya kuona maji yapo shingoni.. Kwa sasa akiwa na kiasi kikubwa cha fedha za kumaliza ubunge na uwaziri...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
HOPE DIES LAST Hayawi hayawi yamekuwa. Wengine walitucheka ila ninaamini kuwa JF tumechangia Dr. Slaa kubadili mawazo na kugombea. Asanteni wote waliojiandikisha hadi namba 95. Ila sasa...
0 Reactions
230 Replies
20K Views
Taifa la Tanzania halitaongozwa tena na wapiga ramli na washirikina. Kiongozi mzuri ni wewe chukua hatua sasa, fomu za uongozi kupitia chama BORA zipo hapa chini.
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Vifungu viwili vya bajeti ya wizara ya sheria na mambo ya katiba vimepangiwa shilingi milioni 900 kila kimoja kwa ajili ya mahakama ya kadhi. Wakipitia kifungu kwa kifungu, bunge wa la muungano wa...
0 Reactions
104 Replies
12K Views
Kampuni hii ambayo inatajwa kuwa inamilikiwa na mwanamama, kwa nini ipewe nafasi ya ukiritimba kwenye sekta ya kutengeneza nambari ya magari? Kipindi hiki cha soko huria, kwanini wawekezeji...
0 Reactions
37 Replies
12K Views
Vyanzo vya ndani toka Wizara ya Habari, Michezo na Utamaduni ambayo ndiyo inasimamia tasnia ya habari vinadokeza kuwa Serikali imechukizwa sana na makala iliyoandikwa na gazeti la Mwanahalisi...
0 Reactions
131 Replies
13K Views
Court backs S Africa exile vote BBC News Online Britain has a large South African diaspora community South Africans living abroad should be allowed to vote, according to a ruling by...
0 Reactions
53 Replies
7K Views
Back
Top Bottom