Wanaharakati Morogoro tukutane | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaharakati Morogoro tukutane

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ramos, Jul 28, 2010.

 1. R

  Ramos JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2010
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sorry wanaJF, Sorry mod naomba mniruhusu nitoe ombi dogo...

  Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, kwa kuzingatia umuhimu mkubwa wa kuwepo kwa timu imara katika kulinda kura zetu, nawaomba wanaJF wote wapenda haki hususan wana CHADEMA na wapinzani wengine waniPM ili tujadiliane jinsi tutakavyounda timu (ya kujitolea) tukishirikiana na viongozi na makada wengine mkoani hapa kulinda kura zetu...
   
 2. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135


  ...kwa ugonjwa huu nitakufa. Watanzania wale watalia sana... mimi nitawaombea kwa Mungu... hayo maneno ya mwalimu siku zake za mwisho..naamini anamwombe dk slaa atukomboe mikononi mwa mafisadiiii
   
Loading...