Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa wale wafuatiliaji wa siasa za tanzania hasa wanasiasa wa vyama vya mlengwa wa kushoto (si wapinzani hawa wanapinga nini)...utagundua kuwa hakuna chama kitachofanikiwa kuing'oa madarakani CCM...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Unless mwandishi awe amekosea ila kama ndiyo reasoning ya polisi wetu hiko hivi mbona tumekula hasara! mwizi kashikwa na ngozi unasema ana tabia nzuri? Mh. Hebu tuambie manake najua unapokea...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Swali langu: Je; Ni Ardhi yetu ndo chambo cha hawa jamaa kuitolea mimacho au? hata hili suala la kuwa na kitambulisho kimoja cha Africa Mashariki -Kiusalama hatujafika huko na haya mambo ya kutaka...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
JK akitembezwa kuangalia hoteli ya Kiromo View ya Bagamoyo baada ya kuizindua. Anayempa melezo ni Mkurugenzi Mtendaji wa hoteli hiyo, Bw. James Mujunamgoma. Kushoto ni waziri utalii na maliasili...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
na Francis Godwin, Iringa ZIKIWA zimepita siku chache tangu Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kumuagiza Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Said, kuifuta mahakamani kesi ya Diwani wa Kata ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
CCM wajiandaa kujibu kauli ya Anne Kilango kuhusu kuogopa mafisadi Na Kizitto Noya KAULI ya Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango kuwa viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanaogopa...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Kumekuwa na usemi hapa Tanzania kwa muda sasa kuwa VIJANA NI TAIFA LA KESHO.Sensa ya 2002 imedhihirisha pia kuwa Vijana ni wengi zaidi kuliko wazee,vilevile wazee wamekwisha tuongoza kwa nafasi...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
2009-04-13 08:17:00 Clerics call for end to graft, impinity By The Citizen team Christian leaders urged more efforts to end corruption yesterday, and called on authorities to fight...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ministers join intense lobbying to evict Ewura, allow Songas to increase its tariffs A section of gas pipes at Songosongo gas plant in Mtwara. Songas wants to be allowed to sell gas to...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hawa IPPMEDIA kama wameshindwa kuiendesha web site yao ni bora waifunge kuliko kuendelea kuweka habari ambazo hazifunguki. Posted Sun, April,12 2009 Source Nipashe Ufisadi wa kutisha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Closed
Wakati nchi ikiwa katika heka heka za kupiga vita ufisadi, hekalu la Silaa lauzwa huko Mbezi Beach. Nyumba hiyo ya kisasa inadaiwa kujengwa kwa fedha ambazo zimeshindwa kurejeshwa. ......ndiyohiyo
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Shibuda awashangaa wanaoogopa urais Thursday, 09 April 2009 16:30 Na Peter Masangwa Majira MBUNGE wa Maswa (CCM), Bw. John Shibuda ameshangazwa na kitendo cha Kamati Kuu ya...
0 Reactions
139 Replies
13K Views
KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa imekikataa kwa mara ya pili kitabu cha hesabu za mapato na matumizi ya Halmashauri ya Wilaya ya Monduli, mkoani Arusha baada ya kubaini mapungufu...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Wanawatakia mkono wa kheri ktk siku hii tukufu ya Easter..tukumbushane mema na kuepushana mkono wa shetani. Fanyeni ibada kama vile hakuna kesho! Sikukuu njema Wanabodi....
0 Reactions
14 Replies
2K Views
SongoSongo Gas-to-Electricity Project The goal of the Songo Songo Gas to Electricity project is to develop natural gas from the Songo Songo gas field in Kilwa District to provide Tanzanians with...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Tanzania maintains position on land ownership issue THISDAY REPORTER & AGENCIES Dar es Salaam TANZANIA has stood its ground on sticky issues regarding land acquisition, travel...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
A oxford don- prof paul colliers book,WARS,GUNS and VOTES has attempted to look at africa's enduring problems with a fresh impetus.He writes-Elections in poor countries with weak institutions can...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Interesting read! Just received this from a good friend from Oxford university, they are actually reading this stuff in their lectures!! UDSM mpoo?? Wageni waijua nchi yetu kuliko sisi wenyewe??
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi karibu Halmashauri kuu ya CCM mkoa wa Shinyanga wamepitisha azimio la kutomtambua mgombea yeyote atayejitokeza kupambana na Rais Kikwete uchaguzi ujao ndani ya chama chao. Kauli hii pia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
cocacola, ibm, nokia, nk zinahesabika kwamba ni "brands" zenye thamani sana. kwa maana nyingine "brands" hizi zinaheshimika kwa nguvu zake sokoni. makampuni yenye brands hizi yanawivu sana na...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom