Vurugu ndani ya CCM aulizwe Rostam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vurugu ndani ya CCM aulizwe Rostam

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Quinine, Jul 27, 2010.

 1. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 8,706
  Likes Received: 6,655
  Trophy Points: 280
  Amegawa pesa karibu majimbo yote na kuwaacha wagombea wakigombana wao kwa wao.
   
 2. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #2
  Jul 27, 2010
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Katika hii lianaloendelea VIONGOZI wengi wa CCM ambao inatia kinyaa kuwahita viongozi ni MATEKA WA MAFISADI WAMEVISHWA VITANZI BILA KUJUA PAMOJA NA JK MWENYEWE SASA WANAKOKOTWA SAMAKI ANAPOVAMIA NDOWANO ILIYOVISHA CHAMBA MATOKEO YAKE ANAANGUKIA KWENYE NDOANO NA KUVULIWA KIRAHISI JK,MAKAMBA NA VIONGOZI WENGINE WA CCM MMEISHA NASA KWENYENDOANO HAPA ANAE AMUA NI ROSTAM AZIZ HAMKUTAKA KUMTOSA SASA ANAWATOSA NYINI MUNGU IBARIKI TANZANIA
   
 3. M

  Msharika JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Asante kwa kutujuza, ila toa habari vizuri kwa kina. Au unataka sema hata Dr Mwakyembe kapewa? elaborate please
   
 4. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 8,706
  Likes Received: 6,655
  Trophy Points: 280
  Mwakyembe si msharika wa RA.
   
 5. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #5
  Jul 28, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 9,588
  Likes Received: 2,924
  Trophy Points: 280
  Hata ms ameambulia mgao huo
   
 6. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #6
  Jul 28, 2010
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,223
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Yeye ndiye tarishi wa kuzipeleka!
   
 7. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #7
  Jul 28, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,305
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  :doh:
   
Loading...