Mheshimiwa william lukuvi vipi mbona kimya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mheshimiwa william lukuvi vipi mbona kimya?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by kichenchele, Jul 27, 2010.

 1. k

  kichenchele JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2010
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 520
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Jamani naombeni huyu mkubwa wa Jiji hili atuambie amefikia wapi na hawa mafisadi wa ardhi wilaya ya kinondoni? mbona kimya tena? pia ajaribu kuangalia na wilaya za TMK na Ilala nako kuna uozo pia
   
 2. M

  MJM JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2010
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 461
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Siyo jipya Tanzania agenda imefungwa labda kama kuna mengineyo kwa idhini ya mwenyekiti.
   
 3. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2010
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Anajipanga kurudi mjengoni..!
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,258
  Likes Received: 21,960
  Trophy Points: 280
  Dhimamoto tu hidho dha kuuthaka uwadhiri mwakani
   
 5. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  hii ndo bongo. hiyo issue imeishia hapo kwa sasa tuko busy na uchaguzi. mambo mengine yanasimama kwanza aiseee. bongoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
   
 6. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #6
  Jul 28, 2010
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,301
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Yuko bize anasaka kura arudi mjengoni kula....... Kwan nini bana? Wabongo ni watu rahisi sana kuridhishwa na usanii.
   
 7. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #7
  Jul 28, 2010
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Na Magesa yuko kwenye mchakato wa kugombea ubunge kupitia ccm!!
   
Loading...