CCM bila rushwa inawezekana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM bila rushwa inawezekana?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kaa la Moto, Jul 25, 2010.

 1. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Kutokana na matukio ya hivi karibuni ya wagombea wengi katika sisi m kukamatwa wakijihusisha na rushwa, hii inatuthibitishia kuwa ni kweli sisi m imejengwa juu ya msingi wa rushwa na ni tatizo kubwa kiasi kwamba tunaweza kuona likiji reflect katika maisha ya kawaida ya viongozi na wananchi.

  Na kwamba kamwe si rahisi chama hiki kuondoa rushwa katika taifa hili pamoja na majisifu yote ya kikwete?

  Je si wakati muafaka wa kukinyima chama hiki maana hakitaweza kamwe kuondoa ufisadi katika taifa letu?.
   
 2. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Wewe ndo uache udini kwa sababu katika kuongea kwake kote Dr. sikuwahi kusikia akizungumzia dini. Mbona hatusemi kuhusu wengine kuwa wametumwa na nani?
  Tuache kufuata za tumesikia angalia kuwa unapenda rushwa iendelee au mabadiliko ya kweli Basi!
   
 3. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Ni kweli Mchukia fisadi.
  sisiem sawa kabisa na rushwa na ndiyo maana ili tuendelee safari yetu ni ndefu sana. Tubadilike tafadhali
   
 4. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Ninaliona kuwa hao mtanzania wana lao. Au wao ndiyo wale wanaochochea udini na ukabila. Lini ulisikia yeye akisema kuhusu kutumwa?
  Mbona hao akina JK hatusemi wametumwa na mafisadi na huku tukiwaona wakifanya vitu vyao hadharani.
  Dr. kuwa Mkatoliki isiwape shida ni kama dini zingine, na pia hawa jamaa wameshaiondoa nchi sehemu mhimu sana, kwa discpline nzuri.
  Tumpe miaka 5 tu!
   
 5. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Suala la kumuamini, sidhani kuwa ulikuwa hujaona utofauti wake akiwa pale mjengoni kwa michango yake na hivi sasa ameamua kuimpliment kwa nafasi hiyo ya juu.
  Mambo mengialiyaibua unataka kusema alitumwa na hao jamaa pia? Na kama walimtuma basi hao ni wakali, lakini si kwasababu ya hizo dini zao, ila ni kama wa TZ wengine tunavyoitumikia nchi. Na inamaana kama wataendelea kumtuma afanye hayo basi tutasonga mbele zaidi kuliko ilivyokuwa kwa Kambayuwayu.
  na pia kwani hawa uliwaaminije? na wanatupeleka wapi?
  Inaonekana wamekurushia karichmond kadogo. Wewe mpe utaona hakuna ajizi tutaruka badala ya kutambaa.
   
 6. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Kwa mantiki hiyo we mgonjwa, Kikwete nae katumwa na waislam sio? Tulia, inaonesha ugonjwa wako unazidi kukuathiri!!
   
 7. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #7
  Jul 25, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mnawaogopa wakatoliki eeeeenh!!!!!, basi siasa za kupakana udini ndo zimeanza sasa, na huyo Kikwenga (Kikwete) basi naye katumwa na Mujahedeen aka al-shabab aka al qaeda aka siasa kali hahahahahahaha bongo raha jamani
   
 8. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #8
  Jul 25, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Malaria sugu swali ni je sisi m bila rushwa inawezekana?
  Wacha kupinda mjadala!
  Maana mnakamatwa na makada wenu wenyewe.
   
 9. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #9
  Jul 25, 2010
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Can the so called 'Mtanzania', currently be a source to refer to?! labda upande wa michezo. Hata huko na wasiwasi mkono wa RA utakuwa umepita pia.
  Mchukia Fisadi, RUSHWA ni mishipa ya damu ya CCM - Hakuna rushwa hakuna ccm!
   
 10. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #10
  Jul 25, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  mwenye akili kama zako aliwahi kudai Kikwete ametumwa na waislamu, lakini wakatoliki wakaumbua waislamu kuwa wao hawana akili za udini kama za kwao (waislamu) na bado wakashiriki kumchagua bila kuangalia anatoka wapi, wewe hapo UMEAMUA KUTANGAZA UDINI hakuna anayesema hivyo ila ni wewe mweneyewe akilini mwako. jifunze kuwa mwanademokrasia ni si mwanadini kwenye siasa, unadhani huyo Kikwete angekuwa amechaguliwa na waislamu wala asingekuwa raisi sasa maana angeshika nafasi ya 5 kati ya wagombea woote, wakatoloki hawana UDINI kama unavyodhani
   
 11. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #11
  Jul 25, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  wewe M.S hebu nyooka na maada inachouliza,
  ukileta mambo yako ya udini hapa utaumbuka, hivi unadhani wakatoliki wangekuwa wanashindana na waislamu kumuweka raisi madarakani hao waislamu wangepata hata kutawala nchi hii?
  labda kwa kujilipua, maana hata kwenye kikombe hawajai, au unadhani kwasababu ya uwingi wa kelele zenu za kwenye mihadhara?
   
 12. M

  Mkandara Verified User

  #12
  Jul 25, 2010
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Malaria Sugu,
  Tafadhali sana msiingie ktk akili za kitumwa. Hizi fikra za Udini ni utumwa wa mawazo na amini maneno yangu, CCM wakijaribu kutumia tiketi ya Udini watapotea kabisa kwani hata tukifuata takwimu zisizoaminika za kwamba Tanzania ina Waislaam 30+ na Wakristu 30+ na Wapagan 30.

  Ifahamike tu kwamba ni rahisi zaidi kwa Wapagan kumchagua kiongozi mkristu kuliko Muislaam kwa sababu Upagan upo vijijini na wakristu ndio jirani zao huko vijijini wakati Waislaam umejikita zaidi mijini na hasa mikoa ya Pwani..Tena naweza kubisha kama Dar ina Waislaam wengi leo hii kuliko Wakristu! kwa hiyo jitahadhalini sana na matumizi ya dini ktk uchaguzi huu.
   
 13. A

  August JF-Expert Member

  #13
  Jul 26, 2010
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  yaani maneno yako yamenifanya ni sign in ili kutoa senksi kwa maneno ya busara na ya kujenga nchi, ni matumaini yangu utaitumia busara yako hiyo kuibadili ukerewe.
   
 14. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #14
  Jul 27, 2010
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nimekua nikifuatilia mchakato wa CCM katika kuwani udiwani na mchakato mzima wa kuwapata wabunge watarajari wa CCM.Utaratibu mzima umeaandamana na vituko .VITUKO mtu anaelichulia swala hili kiutani lakini tukiingia ndani tunapata photocopy ya CCM kama vitendo vya namna hii vinazikabili kila hatu za mwanzo za kuwatapa viongozi vikiongozwa na rushwa na ufisadi tunategemea viongozi wapi tunaweza kuwapata kutokana na huo mchakato MADUDU MATUPU WANAUMANA WAO KWA WAO ATAKAECHAGULIWA KUPAMBANA NA WAPINZANI MBINU HIZO ZITATUMIKA DHIDI YA WAPINZANI NAZITAKUA ZIMEUNGANISHWA DHIDI YA WAPINZANI.WANANCHI NA SISI WANAJAMII TUNAPASHWA KUJIELIMISHA NA KUWAELIMISHA WALALAHOI JINSI YA MTANDAO HUO WA KIFISADI UNAVYOFANYAKAZI TUSIUZE KURA ZETU KWA PILAU T-SHIRT,KHANGA NA AHADI HEWA WANETU,WAJUKUU ZETU VITUKUU WETU WATATUSUTA KWA HAYA.MUNGU IBARIKI TANZNIA DR.SLAA MKOMBOZI WETU MUNGU IBARIKI TANZANIA
   
 15. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #15
  Jul 28, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Ni kweli kabisa
   
Loading...