Bunge lapitisha bajeti ya mahakama Kadhi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bunge lapitisha bajeti ya mahakama Kadhi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Watanzania, Jul 17, 2009.

 1. W

  Watanzania JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2009
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 727
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Vifungu viwili vya bajeti ya wizara ya sheria na mambo ya katiba vimepangiwa shilingi milioni 900 kila kimoja kwa ajili ya mahakama ya kadhi. Wakipitia kifungu kwa kifungu, bunge wa la muungano wa Tanzania lipitisha vifungu hivyo vya bajeti vilivyoandaliwa na serikali ya CCM. Je serikali ya CCM sasa imekuwa ya kidini? Kama siyo ya kidini kwa nini iwe kwa dini moja tu wakati uanzishwaji wa mahakama za kimila za wamasai, wasukuma, wakatoliki, walutheri haukupata fungu la serikali?

  Je sasa CCM ndio imedhamiria kumomonyoa misingi ya umoja wa kitaifa kwa kuleta udini? Je chama hiki kinastahili ridhaa ya watanzania tena? Kwangu mimi hapana na kodi yangu imetumika bila ridhaa yangu na imevunja katiba ya nchi kwa kuleta udini.
   
 2. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,665
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  Eeh! Sasa hapa kazi naona ipo wala si ndogo! hao wabunge wamepitisha lini hiyo kitu? mjadala wake ulikuwa lini?
   
 3. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Are you serious Watanzania? Source please
   
 4. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Najua kama habari ina ukweli Game Theory lazima ataonekana sasa hivi jamvini
   
 5. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  What?

  Eti vifungu viwili...habari yako haijatulia mkuu....!yaani hivyo vifunguu ni mahsusi kwa Kuanzisha mahakama ya kadhi? au katika utaratibu aliotangaza Waziri kwamba hakuta kuwa na separate mahakamas bali zitashughulikiwa ndani ya mahakama nyingine kama SA? na hivyo kuongeza budget for that?
   
 6. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ??????????????!!!!!!damn it
   
 7. M

  Mukubwa Senior Member

  #7
  Jul 17, 2009
  Joined: Aug 20, 2007
  Messages: 124
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  mbona hii nitofauti na matamshi ya waziri mkuu aliyotao jana?
   
 8. Tatu

  Tatu JF-Expert Member

  #8
  Jul 17, 2009
  Joined: Oct 6, 2006
  Messages: 1,081
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Sikukuu ya Wajinga ni July?
   
 9. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #9
  Jul 17, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Something is wrong, and very wrong for that matter
   
 10. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #10
  Jul 17, 2009
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Sasa tusubiri tamko la Wakristo; Then Wahindu; Then Watuwamila n.k.

  Hayati Mwalimu JK Nyerere salamu zikufikie huko ahera. Vijana wako nchi imewashinda.

  Na Waislamu; wasije wakabadili dini sasa. Hizi mahakama ziwe kamili kwa waislamu wote siyo nusu nusu. Mwizi akatwe mkono, Mzinzi, mawe hadi afe n.k.

  Kazi kweli kweli . . .
   
 11. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #11
  Jul 17, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  this story bwana!it is like ''a body travelling from nowhere to infinity'',
   
 12. F

  Fadhila Member

  #12
  Jul 17, 2009
  Joined: Dec 26, 2007
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi Bwana Alien unajua mahakama ya Kadhi inashughulika na nini? Naona umeanza na kukata mikono na kupiga mawe ..... una hakika hii ndio kazi yake?

  Tafadhali chukua muda kidogo ujifunze kuhusu baadhi ya vitu usikurupuke tu
   
 13. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #13
  Jul 17, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,987
  Likes Received: 691
  Trophy Points: 280
  Kanisa gani linapokea waumini kwa sasa? Namuonea huruma RA, watakata mikono yote na miguu!! hadi atabaki kawoshi!!!
   
 14. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #14
  Jul 17, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Astaghafulahi
   
 15. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #15
  Jul 17, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,844
  Likes Received: 1,110
  Trophy Points: 280
  Hii habari inaleta shaka kubwa. Ninachofikiri ni vifungu vya kushughulikia sheria za kiislamu kuingizwa kwenye sheria za kawaida za nchi. Huu ndiyo ulikuwa msimamo wa Serikali uliotangazwa na Mhe. Chikawe (Waziri wa Sheria) na kusababisha munkari Waislam.

  Hii inamaana kwamba kifungu hicho kimepitishwa ili fedha zitumiwe na kamati zilizoundwa kushughulikia kuwezesha Waislam kuanzisha mahakama hiyo nje ya mfumo wa Serikali kama alivyotangaza Mhe. Pinda jana.
   
 16. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #16
  Jul 17, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Ama kweli, kaazi kwelikweli. Na sisi wenye dini zetu tutaomba tutengewe mafungu ya pesa, maana tunataka pia na sisi tusikilizwe.
   
 17. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #17
  Jul 17, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Tanzania: PM clarifies on Kadhi courts
  17-07-2009
  By I Chikaeli Maro in Dodoma
  Dodoma, (Daily News):

  PRIME Minister Mr Mizengo Pinda has said the government is working closely with the Muslim community leaders to ensure the issue of Kadhi Courts was resolved amicably.

  He said this during an impromptu question-and-answer session in the House yesterday morning when he also explained that the government had formed a task force to work with the one formed by the National Muslim Council of Tanzania (BAKWATA) last week to ensure the issue was resolved swiftly.

  The premier was reacting to Mr Hemed Salim Hemed (CUF – Chambani) who sought to know how the government was addressing the matter. Mr Pinda said it was not true that the Kadhi Court debate was closed as reported by some sections of the media – and seized the opportunity to thank Mufti Simba bin Shaaban Simba for his spirited efforts to calm down the Muslim community following some media reports, said to be confusing and misleading.

  The prime minister said the government had no problem with the Kadhi Court, arguing that its establishment and operations were based on Islamic faith. He said the state was not in any position to supervise it; rather, the debate should be within the Muslim faithful themselves. He also told the House that the government was working hard to ensure a long lasting solution to the problem of congestion at the Dar es Salaam Port.

  Premier Pinda said the recent intervention by President Kikwete helped to increase the clearing pace of containers at the port as well as congestion of ships. On teachers’ outstanding payments, the prime minister assured the House that all claims had been included in this year’s budget and that those with genuine claims would be paid accordingly.

  The prime minister’s response followed fresh claims that teachers were planning national strike aimed to pressurize the government to settle their outstanding claims. Meanwhile, PIUS RUGONZIBWA reports that an independent panel of Sheikhs and Islamic scholars has urged the Islamic community in the country to remain calm and patient as the Mufti was negotiating with the government the process to establish Kadhi Court.

  In a statement signed by Sheikh Shariff Hussein Hashim Al-Musawa from Tanga, the clerics cautioned some members of the Islamic community within the country said to have ‘hidden agenda’ motives and other personal interests under cover of Kadhi Court and were bent to cause havoc in the community.

  “We want to put it clear that any attempted chaos during the process of this agenda won’t make us achieve anything as far as establishment of Kadhi Court is concerned. Any other debates on the matter should be discouraged until we reach the conclusive end under our leader the Chief Sheikh,” said Sheikh Khamis Mataka, the secretary of the panel.

  The panel also discussed during their extraordinary meeting and reminded the government on the need for the country to join the Organization of Islamic Community (OIC) adding it was high time the lasting solution on the matter was sought now. They added that their reminder on the OIC matter comes basing on the facts that the government had already conducted a through survey on the same and reached the conclusion that there was no harm for the country to join OIC.

  On the social well-being of Muslims in the country, the panel claimed that they had noted with concern the fact that most of them had no proper education and are poor economically. They called for their leaders to put up strategies to address the problems, mostly said to affect the youth and find schooling opportunities for them.

  “Please, all Muslim leaders of all mosques countrywide, see on how we can have this generation attain proper education as instructed by Prophet Mohamed (SAW),” read the statement in part. The panel however, urged all Muslims to advocate the spirit of hard working in all spheres of life so as to gain economic strength.

  Other members in the panel included Shaban Juma from Arusha, Sheikh Ishaka Issa from Kagera, Sheikh Ahmad Zubeir from Dodoma, Sheikh Shaaban Salum from Tabora and Sheikh Abubakar Zubeir from Dar es Salaam. Others were Sheikh Nurudin Mangochi from Mtwara, Sheikh Hamid Masudi Jongo from Dar es Salaam, Sheikh Hassan Iddi Kiburwa from Kigoma, Sheikh Shaaban Rashid from Kilimanjaro and Alhaji Iddi Simba who was special guest.

  Daily News | PM clarifies on Kadhi courts
   
 18. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #18
  Jul 17, 2009
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Aloo gundi umenivunja mbavu mapaka nashundwa kuhema! Jambo lenyewe ni zito lakini jinsi ulivyoliweka kweli inachesha. Haya bwana!
   
 19. D

  Dongo New Member

  #19
  Jul 17, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nchi hii keli usanii unatisha!!
   
 20. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #20
  Jul 17, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mahakama ya Kadhi? ndio mdudu gani huyu? hakuna mtu ambae hatakubali kodi yake itumike kuanzisha mahakama inayohusu dini moja ingali serikali yenewe inadahi haina dini.kama wanataka hiyo mahakama watafute fedha wao wenyewe na watafute nchi ya kwenda kuanzishia hiyo mahakama yao.
   
Loading...