Nzega, Urambo na Igunga vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nzega, Urambo na Igunga vipi?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kiwalani, Jul 21, 2010.

 1. Kiwalani

  Kiwalani Senior Member

  #1
  Jul 21, 2010
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 128
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wakuu, naomba kama kuna taarifa ya wagombea ubunge mkoani Tabora, hususan Nzega, Urambo na Igunga .... mwenye taarifa naomba azimwage hapa.
   
 2. D

  Diwani Member

  #2
  Jul 23, 2010
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Urambo SS anapambana vikali na Ally maswanya, Nzega selelii amebanwa vibaya na Husen bashe kiasi jana selelii alizomewa sana hadi akashindwa kujieleza, Igunga RA anapeta
   
 3. m

  mwanamilembe Member

  #3
  Jul 23, 2010
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Igunga kwa taalifa yako RA mwaka huu anakwenda na maji mark my word
   
 4. Kiwalani

  Kiwalani Senior Member

  #4
  Jul 23, 2010
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 128
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Maana taarifa nilizozipata zamani ni kwamba Bashe (Nzega) na Ally Maswanya (Urambo) wametumwa na RA
   
 5. Kiwalani

  Kiwalani Senior Member

  #5
  Jul 23, 2010
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 128
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kuna mwenye taarifa za mpiganaji Kafumu huko Igunga??!!!!!
   
 6. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2010
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Nyongeza: Urambo SS anapambana vikali na Ally maswanya + Dr Mganilwa mhadhili mwandamizi toka SUA -kwa mujibu wa magazeti ya Mzalendo Mwananchi na Habari leo.
   
Loading...