Elections 2010 Unamuunga mkono Dr. Slaa kugombea URAIS mwaka 2010? Jiandikishe hapa

Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,550
6,060
HOPE DIES LAST


Hayawi hayawi yamekuwa. Wengine walitucheka ila ninaamini kuwa JF tumechangia Dr. Slaa kubadili mawazo na kugombea. Asanteni wote waliojiandikisha hadi namba 95. Ila sasa lazima MJE wengi kuunga mkono na IDADI yetu iwe kubwa ya kutisha. Nina imani sasa kufika zaidi ya 1,000 hadi mwezi ujao mwishoni. Na hawa 1,000 wataenda kutengeneza wengine walau 20 kila mmoja.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.

1.Dr. Slaa 2.MKANDARA 3.King of kings 4.Masanilo kugema 5.Fidel80

6.Bht 7.Tanzania 8.Ndege ya Uchumi 9.Jiwe 10.Jakathesi

11.Technician 12.Kilembwe 13.Ndjabu Da Dude 14.Bollo Yeng 15.Selous

16.Nyamizi 17.Mfwatiliaji 18.Sikonge 19.Ben 20.Lorah

21.Chief 22.Alpha 23.Malunde-Malundi 24.Muhindi 25.Nanu

26.Betina 27.Baija Bolobi 28.Epigenetics 29.Member 911 30. Mlalahoi

31.Mag3 32.Nndondo 33.Tai Ngwilizi 34.Sn2139 35.Shalom

36.Mc 37.Firstlady1 38.Henge 39.Nemesis 40.Mchili

41.Ngambo Ngali 42.Positive Thinker 43.Advocate Jasha 44.Zhule 45.Araway

46.Pasco 47.Mbu 48.The Invincible 49.Vivian 50.Daughter

51.Deo 52.Holowane 53.Kingi 54.Tzpride 55.Mzee Punch

56.Kiby 57.Mtangi 58.Birigita 59.Rwabugiri 60.Suzzie

61.Omutwale Kanyigo 62.BabaDesi 63.Bullet 64.Kinya 65.Mwasi

66.Geza ulole 67.Tuandamane 68.Dingswayo 69.Kitia 70.Kiwi

71.Kodabosi 72.Cammory 73.Babu M 74.Wa Mjengoni 75.Mzawa Halisi

76.Kungurumweupe 77.Njilembera 78.MpigaFilimbi 79.Mageuzi1992 80.Kilemi

81.Kwame Nkrumah 82.Carthbertl 83.Mageuzi1992 84.Kamende 85.MJM

86.Allydou 87.Original Pastor 88.Nono 89.Isaya Mwita 90.Mfalme

91.Saitama Kein 92.Pilato2006 93.Augustine Moshi 94.Kipipili 95.Masikini Jeuri.


96.Mawazotu 97.QuadratJ 98.Kisoda2 99.Tumain 100.Jack Beur


101. Mnene1 102.PayGod 103.Mzalamo 104.Anaruditena 105.ncha


106.Mgalanjuka 107.Mganyizi 108.Ngorunde 109.Nyamayao 110.Kamaka

111.Kingi 112.





Tumeshafika 90 huraaa!!!!!, lengo ni 100 hadi mwisho wa mwezi.

(Andika jina lako tu na mie nitaongeza kwenye listi)
Don't underestimate the people, JK is beatable!!
Hili ni swali zito, nani asimame na JK? Dr Slaa akisimama atakuwa na mengi tu ya kutamka mbele ya watanzania ya kumfanya Kikwete angalau atoke kwenye comfortable zone alipolala usingizi na kujua kwamba yeye sio mmliki wa hii nchi.
 
Labda huyu Dr. Slaa anatakiwa KUAMSHWA. Nimeona tufanye SENSA ya haraka haraka humu ndani ya JF. Kwa wale wote wanaoona DR SLAA agombee mwaka huu basi hebu jiandikishie jina lako tuone mwisho wa wiki tutakuwa wangapi. Tujitokeze kwa wingi ili kumuonyesha Dr. Slaa anavyohitajika.

Dr. Slaa, samahani nimeamua kuanzia jina lako kwa makusudi kabisa maana JEMADARI lazima awe mbele na wengine watafuata.

1. Dr. Slaa.
2. Sikonge.
3. King of kings
4. Masanilo kugema
5. Fidel80
6. Bht
7. Tanzania
 
1. Dr. Slaa.
2. Sikonge.
3. King of kings
4. Masanilo kugema
5. Fidel80
6. Bht
7. Tanzania
8. Jakathesi
 
Naomba nitofautiane na wote hapo juu kwa hili mimi sisimami kuhesabiwa ninazo sababu,
kwanza... Dr. Slaa mwenyewe kasema wazi hagombei kwa hiyo si busara kumlazimisha
pili... kumlazimisha kama alivyosema inaweza kuwa mbinu ya sisiem kumvunja nguvu mwenyewe na jimboni kwake
tatu... si kila jemedari mkuu lazima atangulizwe mstari wa mbele vitani kuna athari zake atakapoanguka
nne... bado naona nafasi aliyonayo ya uwakilishi bungeni inamfaa zaidi ya kukimbilia urais
tano... chama chake hakijaamua ni nani tuwape nafasi vijana wengine zaidi ya kumtegemea mtu mmoja tu
mwisho... kusema hayo si kuwa sithamini mchango wake nauthamini sana ila uongozi bora hupatikana popote si lazima kwenye ngazi ya urais tu.
 
Tunaendelea safi sana hadi sana. Lengo ni kugonga watu 1,000 kabla ya wiki haijaisha. Wiki lijalo MODS wambwagie listi mezani kwake Dr. Slaa na aone mwenyewe ni watu wangapi kwa harakaharaka wanamsubiri tu ajitangaze.
 
Selous nataka pia lakini isingekuwa Karatu Dr. Sllaa asingekuwepo na huenda hataki lile jimbo lirudi CCM kwa udi na uvumba.
Nitakachomwezesha Dr kugombea urais sio nini wala nini ni haya yafuatayo kama sio abishe;
  • Mbadala kwa CCM pale karatu, naamini akijitokeza mwanaCHADEMA mwingine mwenye nguvu wa kukabili kishindo cha CCM atakuja kutuliza kiu yetu,
  • Hofu ya kupoteza jimbo na imani pekee aliopewa na wanakaratu.... Nilipita pale nikafanya ka test kidogo.... acha huyu mtu anaheshimika pale aka Willy or Father
 
13. Jokofu Kiwete

Mkuu, una majina mawili nini? Naona umechanganya mambo. Nashindwa kukuandika kwenye listi kwa sababu umeweka jina tofauti na jina lako la JF

Naomba nitofautiane na wote hapo juu kwa hili mimi sisimami kuhesabiwa ninazo sababu,
kwanza... Dr. Slaa mwenyewe kasema wazi hagombei kwa hiyo si busara kumlazimisha
pili... kumlazimisha kama alivyosema inaweza kuwa mbinu ya sisiem kumvunja nguvu mwenyewe na jimboni kwake
tatu... si kila jemedari mkuu lazima atangulizwe mstari wa mbele vitani kuna athari zake atakapoanguka
nne... bado naona nafasi aliyonayo ya uwakilishi bungeni inamfaa zaidi ya kukimbilia urais
tano... chama chake hakijaamua ni nani tuwape nafasi vijana wengine zaidi ya kumtegemea mtu mmoja tu
mwisho... kusema hayo si kuwa sithamini mchango wake nauthamini sana ila uongozi bora hupatikana popote si lazima kwenye ngazi ya urais tu.

Mkuu Luteni,
Wana siasa siku zote huwa wanasema Ahhh, sitaki, ahh hadi nimuulize mke wangu. Ni nchi chache sana ambazo kuna hiyo tabia ya kuanza kampeni mapema na kusema wazi kabisa ntagombea. Hata Kikwete sasa alikuwa akisema hivyohivyo. Kasema nini Dr. Slaa hilo si muhimu. Kwanza tunataka kuona anajiamini bila kujali kama atakosa kura au vipi. Kwani Karatu alianza vipi hadi akashinda? Tena huko alianza akiwa hata hafahamiki. Sasa hivi Dr. Slaa ni jina kubwa na ningelitegemea sasa awe msemaji kutoka CHADEMA kwenye hili swala la Wafanyakazi. Ni kipindi cha kutumia Lugha mbaya ya viongozi wa CCM na kujifagilia.

CCM hawajawahi kupata upinzani mkubwa kiasi hiki. Sasa wamekuwa kama Simba aliyejeruhiwa na wako tayari kumrarua mtu yeyote. Ila ukikutana na Maboxer wazuri kama Mohammed Ali au Johnson, ndiyo kwanza watazidi kukutukana kuwa ".... he wee vipi, mama yako anapiga zaidi kuliko wewe...." Sasa wewe zidi kuchukia na rusha makonde ovyo na uchoke. Hapo anakutwanga kama mtoto mdogo. Atakayekuwa Mvumilivu wa Kupokea mapigo ndiye atashinda.

Mwisho hii listi ni kutaka tu kumuonyesha kuwa tuko wengi wenye imani naye. Tanzania ni nchi ya Demokrasia. Na ni hilo leo hii tunalilaani na hivyo hatuwezi kumshambulia wala kumlazimisha mara akikataa. Kumbuka maneno ya jana ya Kikwete ya Mbayuwai kuwa "Akili za kuambiwa na changanya na akili zako......" Huyu nii Dr. wa sheria na nina imani muono wake utakuwa hata juu zaidi yetu sisi. Angelikuwa na imani na misimamo ya Watanzania ninaamini angeligombea na akamshinda Kikwete. Ila sisi ni Kigeugeu sana.

Clinton aliwaambia Wanyarwanda kuwa "mkikaa kujadiliana, hakuna uhakika mtaafikiana ila msipokaa basi hakuna kuafikiana". Na sisi tunapojaribu kuweka listi, hakuna uhakika kama Dr. Slaa atakubali ila TUSIPOJARIBU basi tuna uhakika kabisa kuwa HATAGOMBEA.
 
Lets see if u get to a million.. Acheni kichaa even if the total members of JF vote hapati ata 4%..lol Muacheni bungeni, miaka mingine mitano CCM will be weak enough to get a significant percentage of the vote. This is not a movie people, progress is a slow process especially if you are under a large pile of crap as we are now. So acheni upinzani wajijenge, msiwajaze vichwa maji mwishoe vibasti CCM washangilie kwa Champagne.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom