Masasi signs ni mradi wa nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Masasi signs ni mradi wa nani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kiranja Mkuu, Jul 13, 2010.

 1. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kampuni hii ambayo inatajwa kuwa inamilikiwa na mwanamama, kwa nini ipewe nafasi ya ukiritimba kwenye sekta ya kutengeneza nambari ya magari?

  Kipindi hiki cha soko huria, kwanini wawekezeji wasikubaliwe kushindana na masasi sign ili mwananchi anufaike na ushindani wa kibiashara na pia awe na uwanja mpana wa kumchagua mtengeneza kibao amtakaye?

  Je, Masasi Signs ni mradi wa kibopa gani?
   
 2. J

  Jack Beur JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2010
  Joined: Feb 26, 2010
  Messages: 215
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 60
  "Msiwe na wivu wa kijinga" ni mwenyeji wa masasi.
   
 3. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2010
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  haha haha ha Mzee wa Wivu wa kike kajiwekea kamradi ka kumlisha na kumneenesha miaka yote.
  Zisi kantre bwana, ukipata chance ya kujilimbikizia, wafikirie na wenzako ambao kamwe hawatoweza kuyafikia mafanikio yako.
   
 4. R

  Renegade JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2010
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,759
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Hapana, siyo mwenyeji wa Masasi, Jina lao ni Masasi. Ni dada wawili Lulu na Sara Masasi, wenyeji wa Iringa.
   
 5. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Ni kweli Masasi ni mradi wa mwana mama mmoja ambaye mara nyingi anapatikana Arusha.
  Ila kusema kweli kazi anaifanya ipasavyo.

  Lbda kama mtu aw'disqualify kwa vigezo vingine eg. jinsi alivyopata tenda, muda wa kuendesha tenda n.k
  Lakini kwa kufanya kazi waliyopewa, jamaa wanajitahidi.
   
 6. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2010
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Hata mimi nawakubali ni wazuri na sasa hivi unapata plate baada ya siku tatu. swali la kujiuliza ni Je, Tenda hii ni ya Kudumu?
   
 7. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2010
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,703
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Hawa si walishinda tenda?

  Amandla....
   
 8. M

  Mzawa Halisi JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2010
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 499
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Kuna kampuni ya wahindi sikumbuki jina lake ilikwenda mahakama kuu kupinga Masasi signs kupewa zabuni ya kutengeneza namba za magari lakini walishindwa.
  Pia MS hawana mkataba wa kudumu kutengeneza number plates
   
 9. K

  Katibu Tarafa JF-Expert Member

  #9
  Jul 14, 2010
  Joined: Feb 16, 2007
  Messages: 980
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  tatizo tunapoingia kwenye soko huria, maana yake serikali inatakiwa kusimamia viwango vya bidhaa/huduma kwa wateja na sio kusimamia ukiritimba kama huo wa masasi. Tunge kuwa na ajira karibu kila mkoa hata wilayani.
   
 10. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #10
  Jul 14, 2010
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Kwanini masasi wamepewa nguvu ya ku monopolize soko?
   
 11. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #11
  Jul 14, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 654
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Kwa sasa kuna kampuni nyingine imepewa kazi ya kutengeneza plate, lakini cha ajabu ni kuwa Standard zake si sawa na zile za masasi. Namba zake ni pana zaidi.

  Swali la kujiuliza, hata kama mtu mwingine akipewa fursa za kutengeneza namba. Je, kila mmoja atakuwa na standard (patent) zake?

  Maana hizi namba za hawa jamaa wa SI ni tofauti kimuonekano na za masasi, standard ya plates ni ipi?
   
 12. n

  newazz JF-Expert Member

  #12
  Jul 14, 2010
  Joined: Mar 28, 2009
  Messages: 471
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 60
  Mimi niliomba nililipa saa nane dkt 45 , nikapata kibao baada ya saa kama moja baadaye hivi.

  Masasi vibao vyao ni vizuri na real professional.

  Kuna kampuni nyingine ipo nayo yatengeneza vibao, lakini sivipendi, maandishi yake makubwa yameacha nafasi , kama mtoto anajifunza kuandika darasa la kwanza.

  Masasi- safi......
   
 13. D

  Dandaj Member

  #13
  Jul 14, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo masasi amemonopolize soko na anafanya vizuri kazi zake. TANESCO amaemonopolize soko kazi ovyooo. Na bado wote hao tunaona kuna tatizo. wakati mwingine wateja wa hao wadau tunakuwa ni tatizo. vibaya hatupendi na vizuri hatupendi.
   
 14. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #14
  Jul 14, 2010
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  THE former GV wa benki kuu,the late B,played a crucial role in the masasi,s acquisation of this tender,his younger brother N,used to go out with sara masasi
   
 15. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #15
  Jul 14, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,936
  Likes Received: 2,084
  Trophy Points: 280
  Kwani tenda inatoka baada ya muda gani? Tayari kuna hiyo nyingine manavyosema, sasa shida iko wapi? Cha msingi sisi wateja tuwe na uchaguzi wa kati ya Masasi na hao wengine!! Halafu serikali itoe standards ambazo zitafuatwa na wote! Labda hizo kubwa zinaumuhimu wake katika ku-note namba kutokea mbali!!!!
   
 16. P

  Penguine JF-Expert Member

  #16
  Jul 14, 2010
  Joined: Nov 29, 2009
  Messages: 1,226
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180

  Masasi Signs Saaaafi, saafi saana
  But why long term exclusivity in that business?
   
 17. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #17
  Jul 14, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,080
  Likes Received: 5,556
  Trophy Points: 280
  Huyu ni yule aliekuwa bibi wa aliekuwa mh wazirimkuu wa tanzania
  bw f sumaye amempa tenda nyingi tu ila nahisi wameachia kuna wengine hivi sasa
  huyu mama alikuwa anachangia mamilio ccm hasa uchaguzi mill 500/700


  sasa wewe asipewe tenda atawalipa ni ni siku ya uchaguzi big up maama l
   
 18. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #18
  Jul 14, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,080
  Likes Received: 5,556
  Trophy Points: 280
  Mama kama ujatoka mpaka sasa inabidi usubiri mbingu zikutoe hakika umefanya mengi
  kuna mwingine alikuwa anapewa tenda za kuleta mabendera fulana na tkt nyingine za ccm kwenye uchaguz huyu mganga wake mkali hata tripu hii anakamata tenda mama mmoja wa kihaya yuko masaki..gemu yake kubwa naomba yasitukute yaliomkuta prof
   
 19. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #19
  Jul 14, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Nadhani kuna hoja ya msingi hapa.

  Hata kama wanafanya kazi yao vizuri nadhani kuna ukiritimba na usiri usiokuwa wa lazima (kama kweli hakuna vested interests).

  Kwa nini kusiwepo ushindani, je gharama halisi za hizo namba plates ndizo hizo analipa mteja? Hakuna 10 ya watu hapa? Ni soko huria pekee ndilo litatuambia kuwa tunalipa gharama halali.

  Mimi ningependekeza kuwepo na utaratibu kama ule wa kwenye clearing ambapo TRA wamesajili makampuni yanayoweza kufanya hiyo service, na kwenye namba plates kuwepo pia na uhuru wa mteja kuamua anatengenezewa namba plate wapi na si kuamuliwa na TRA.
   
 20. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #20
  Jul 14, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Mmiliki mbona anajulikana wazi ni yule mwenye mgodi wa Kiwira, Bank M na anafahamika kwa jina BWM
   
Loading...