Mahanga ahaha Segerea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mahanga ahaha Segerea

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Nyauba, Jul 22, 2010.

 1. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mbunge wa zamani wa jimbo la ukonga Mahanga ameamua kurejea jimbo jipya la Segerea baada ya kuona maji yapo shingoni..

  Kwa sasa akiwa na kiasi kikubwa cha fedha za kumaliza ubunge na uwaziri kuliko wapinzani wake ndani ya jimbo anaonekanaa kutumia vyema fedha kuwarubuni wajumbe katika vikao vyake vya ndani.

  Jamani hivi huyuu jamaa kwa rekodi yake bado Segereaa anatufaaa?? hana lolote alilotufanyia kwa miaka kumi zaidii ya kuongezaa kero kwenye eneo letu segerea.

  Wanasegerea naomba tuchague MABADILKOOOOOOO..
   
 2. k

  kosamfe Member

  #2
  Jul 22, 2010
  Joined: Apr 14, 2009
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hizo kampeni sasa
   
 3. M

  MJM JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2010
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 461
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Sure! Sioni hata sehemu au mifano inayoonyesha kuhaha kwake zaidi ya malalamiko ya Nyauba. Thread nyingine bwana aaaaagh!
   
 4. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  hamna jamaa juzii nimemshuhudiaa akiwakusanya wajumbe ndani ya jengo moja mitaa ya bimaa pale usikuuuuu...sasa jamanii huko sio kuhaha au ndo kampeniii????

  poa basi nipo hapa swiz pub napata moja baridii ya dhahabuuuu..
   
 5. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  sasa kama wajumbe wenyewe mna njaa awafanyeje....umasikini wenu ndio mzigo
   
 6. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Tunataka flyovers segerea........! Hahahahaahahah....! Mvua ya vitumbua inaweza kunyesha siku hiyo..!
   
 7. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Da! kwenye Heading ulivyosema Segerea mi nilijua ana anahaha Gerezani labda amefungwa jela ktk Gereza la Segerea.
  Kumbe ni swala zima la Kampeni!!
  Loh!
   
 8. Shalom

  Shalom JF-Expert Member

  #8
  Jul 22, 2010
  Joined: Jun 17, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Huyu ni vizuri ashinde ili jimbo litoke mikononi mwa CCM. Kwani huyu jamaa akishinda ubunge nitashangaa sana kwani ameshasema wazi kuwa watu wa segerea, kimanga na kinyerezi hawezi fanya kitu kwa kuwa hawampendi. Na hivi ni mpenzi wa taarabu basi atapewa huo muda wa kufanya hivyo full time
   
Loading...