Muasisi wa CCJ ahamia TLP | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muasisi wa CCJ ahamia TLP

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Konaball, Jul 22, 2010.

 1. K

  Konaball JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Aliyekuwa miongoni mwa waasisi na mwanachama ‘front liner’ wa Chama Cha Jamii CCJ, Mashaka Seif, asubuhi ya leo ametangaza rasmi kujitoa CCJ na kuhamia TLP, katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo. Bwana Mashaka alimkabidhi Naibu Katibu Mkuu wa TLP, Hamad Rajab Tao kadi yake ya CCJ na kukabidhiwa kadi mpya ya TLP pamoja na ilani ya Chama.

  Bwana Mashaka pia ametangaza nia ya kugombea ubunge katika Jimbo la Rorya mkoani Mara, na amesema mgogoro wa usajili kati ya CCJ na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini ndiyo sababu kubwa iliyomfanya ahamishie majeshi TLP.
   
 2. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,860
  Trophy Points: 280
  Source GPL

  Bwana Mashaka Seif akionesha kadi ya TLP muda mfupi baada ya kukabidhiwa na kupokelewa kuwa mwanachama wa Chama hicho.

  Aliyekuwa miongoni mwa waasisi na mwanachama ‘front liner’ wa Chama Cha Jamii CCJ, Mashaka Seif, asubuhi ya leo(JANA) ametangaza rasmi kujitoa CCJ na kuhamia TLP, katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo. Bwana Mashaka alimkabidhi Naibu Katibu Mkuu wa TLP, Hamad Rajab Tao kadi yake ya CCJ na kukabidhiwa kadi mpya ya TLP pamoja na ilani ya Chama.

  Bwana Mashaka pia ametangaza nia ya kugombea ubunge katika Jimbo la Rorya mkoani Mara, na amesema mgogoro wa usajili kati ya CCJ na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini ndiyo sababu kubwa iliyomfanya ahamishie majeshi TLP.
   
 3. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Kazi kwelikweli umaarufu wa ccj kwisha lakini kunakitu kinaendelea ndani yanchi sibure chama kinze nakusambaratika ghafula!!!
   
 4. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2010
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hicho ndicho CCM kwa kumtumia Tendwa ilitaka kitokee - kusambaratika kwa nguvu kubwa tishio kwao.
   
Loading...