Tujadili uongozi wa tanzania

Tujadili uongozi wa tanzania

Nsololi

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2007
Posts
298
Reaction score
81
Je, kauli hii iliyowahi tolewa na Socrates PLATO, mmoja wa wanafalsafa bingwa wa kale wa Ugiriki,inatupa funzo lolote sisi wa Tanzania, hasa katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu???

Plato aliwahi kusema hivi "WALE AMBAO NI WELEDI, MAHIRI NA WAADIRIFU LAKINI HAWATAKI KUINGIA KATIKA SIASA, MWISHOWE HUJIKUTA WAKITAWALIWA NA WATU HOVYO NA WAJINGA"
 
Back
Top Bottom