Umeme umegoma kupita kanisani kwa Kakobe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umeme umegoma kupita kanisani kwa Kakobe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kasyabone tall, Jun 28, 2010.

 1. k

  kasyabone tall JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2010
  Joined: Sep 13, 2009
  Messages: 255
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 33
  Waheshimiwa nimepata taarifa mda si mrefu kuwa ule umeme wa tanesco umeshindwa kupita kanisani kwa kakobe. Kama kuna mtu anataarifa zozote tunaomba mtujulishe.
   
 2. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Source please
   
 3. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Huu ni umbeya source please!!!!
   
 4. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2010
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ..Ila kwenye taarifa ya habari ya TBC saa mbili usiku kulikuwa na msemaji wa Tanesco akitoa maelezo ya kushindwa kwao kupitisha waya wa Volt fulani (samahani, nilikuwa na wageni nikawa nasikia juu juu tu!) na wameamua kupitisha waya wa volt ndogo zaidi kwa maelezo ya kuhakikisha kuwa miundombinu mbinu yao iliyokuwepo hapo tayari isiharibike kwa kuipitishia volt kubwa...or something similarly stupid. Kwa ujumla maelezo yalikuwa yanakiri kuwepo kwa mabadiliko kuhusu hiyo njia ma umeme kupita hapo kwa kakobe.

  Nikajikuta nikijiuliza, walipokuwa wameshika bango la ugomvi na Kakobe hawakuyajua haya???
   
 5. C

  Cool Member

  #5
  Jun 29, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 98
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Nimesikia ni gazeti la DIRA ndo limeandika
   
 6. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #6
  Jun 29, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  amen amen amen


  haleeeeeeeeeeeeeeeeeluuuuuuuuuuuuuuuyaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!
   
 7. k

  kasyabone tall JF-Expert Member

  #7
  Jun 29, 2010
  Joined: Sep 13, 2009
  Messages: 255
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 33
  Umbea?
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Jun 29, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,427
  Likes Received: 22,349
  Trophy Points: 280
  Kakobe oyeeeeeeeeee
  [​IMG]
   
 9. Obuntu

  Obuntu JF-Expert Member

  #9
  Jun 29, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Oyee Oyeee: Bwana anampigania: Wote sema - Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeni
   
 10. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #10
  Jun 29, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Kama ni kweli tuamini Mungu wa Kakobe amejidihirisha.
   
 11. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #11
  Jun 29, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  U guys are jokers kama Tanesco na Kakobe..Kwanza mnaleta habari roborobo halafu mnaleta mapambio ya halelujah sijui nini..Bwe he he he..
   
 12. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #12
  Jun 30, 2010
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Imekukera?
   
 13. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #13
  Jun 30, 2010
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,045
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Ngoma inogileeee, ngoma inakoleaaaa, ngoma ya Tanesco, haha haupiti (umeme).
  Na tuone sasa itakuwaje....masikio yanawasha. Msichezee watumishi wa Mungu jamani, kama vile hamkuwa na alternative?????
   
 14. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #14
  Jul 1, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  As a scientist I can only feel sorry for the mediocrity and 'exalted' blind faith and give my ribs and lungs a perfect exercise with a BIG BWE HE HE HE.
   
 15. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #15
  Jul 1, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Mitanzania bana!
   
 16. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #16
  Jul 1, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,601
  Likes Received: 18,622
  Trophy Points: 280
  Amen, ila mimi ni Tomaso, mpaka nithibitishe, na nikishathibitisha nahamia kwa Kakobe moja kwa moja.
   
 17. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #17
  Jul 1, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,947
  Likes Received: 2,093
  Trophy Points: 280
  Kama umeme unaingia ndani ya kanisa lake inakuwaje huu wa kupita ushindwe? Je, tatizo lipo kwenye eneo la Kakobe tu na kwingine kama Mawasiliano Towers hakuna shida hiyo? Kama tatizo lipo kwenye lines zote na nzima kutoka Ubungo mpaka Victoria basi si kwa sababu ya sala za Kakobe.

  Mimi ni RC, tuna amri kumi za Mungu; ya kwanza inasema,"Mimi ndimi bwana Mungu wako, usiabudu miungu wengine". Sasa kwa wale ambao mnamsifia Kakobe kwa maombi yake kuwenu makini kwani anaweza kuwa anatumia miungu mingine au nguvu za giza. Haiwezekani kitu cha manufaa kwa nchi na wananchi unakizuia na kusema eti mungu atazuia. Kwanza huo uaskofu alipewa na nani? Kwanza sala gani muda wote ni sadaka, fungu la kumi na kuombea tu, hakuna kushukuru?
   
 18. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #18
  Jul 1, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  watanzania hasa tunashangaza......................tunaweza kukataa maendeleo kwa kuwa tu mtu fulani kasema maendeleo yasipite mlangoni kwake!
   
 19. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #19
  Jul 1, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Sasa unataka hata kama hayo maendeleo yanakuua uyakubali tu? Kweli watanzania tunashangaza sana kwa kusoka kujua haki zetu ziko wapi!
   
 20. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #20
  Jul 1, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  una udhibitisho gani kuwa Kakobe anatumia miungu mingine?Go and read your bible again,using'ang'anie misale tu.​
   
Loading...