Ufisadi kura za maoni ccm tahadhari kambi ya upinzani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufisadi kura za maoni ccm tahadhari kambi ya upinzani

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by wamlaga, Jul 26, 2010.

 1. w

  wamlaga Member

  #1
  Jul 26, 2010
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 22
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli kelele za wana CCM kufisadiwa katika kura za maoni na wana CCM wenzao kuchukuliwe kwa tahadhari kwani wengi wanaolalamika wanajua chama kimezoea kufanya nini ili kupata unaoitwa "ushindi wa kishindo" wakitoka huko mbinu hizohizo zinaweza kutumika endapo zitaruhusiwa. Rai kambi ya upinzani fuatilieni kwa makini mchakato huu siyo tu kuangalia nani amedhurumiwa bali pia amedhurumiwa kivipi kwani mbinu hizohizo za kifasadi kwao zitaletwa na katika uchaguzi mkuu. Ziundwe timu za wataalamu kuratibu zoezi hilo na ikibidi kuja kuwahoji vilivyo wale wataofisadiwa ni muhimu sana.
   
Loading...