Albedo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 5,559
- 1,452
Tangu wiki iliyopita Chama cha Mapinduzi CCM kimeanza Mchakato wake wa Kuwapata wagombea wake wa viti vya Udiwani na Ubunge, katika michakato hiyo watoa nia Mbalimbali wamekuwa wakipita katika kata mbali mbali kuuza sera zao ili wapitishwe kugombea Nyazifa hizo.
Nilitegemea basi katika kampeni hizo Wagombea hao wangejikita zaidi katika kuelezea Udhaifu wa Wapinzani wao ( katika kuwania kuteuliwa) Lakini kuna baadhi ya Maeneo nimeona Kabla ya Mkutano kuanza Zinapigwa Nyimbo kama Wapinzani Tuwachanechane na pia Chagua Kikwete 2010
Je Wana Jamvi huku sio kuanza kampeni kabla ya Muda?
Je Tume ya Uchaguzi hailioni hilo
Je Vyama vingine navyo vikianza kuwanadi Wagombea wao si itakuwa Vurugu?
Nakemea vikali kitendo hicho na naenda mbali kuilaani Tume ya Uchaguzi kuacha Vitendo hivi vikiafanya mbele ya macho ya Sheria, hii inaleta Uwanja usio sawa wa Ushindani maana Wengine Washaanza Kampeni tayari kwa MWAMVULI WA KURA ZA MAONI
Nashauri ni Vizuri NEC ikaweza wazi ni nini kinapaswa kufanyika/kutamkwa/kuimbwa katika kura za maoni na nini hakipaswi kutamkwa
Kama NEC wakiendela kukaa kimya Nawashauri vyma vingine kama CHADEMA vianze navyo Kampeni