Mbinu mpya ya ushindi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbinu mpya ya ushindi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by dengeru, Jul 25, 2010.

 1. dengeru

  dengeru Member

  #1
  Jul 25, 2010
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni mkakati wa CCM kuhakikisha watu hawapati elimu ya uraia hasa viijini,na wanatumia njia hiyo kushinda changuzi mbalimbali.Naomba tutumie njia mbadala kuhakikisha watu wetu walio vijijini hawaichagui CCM(wakiwapa hela wale na wasiwachague)..naomba kila mtu alie mjiji awapigie simu ndugu zake wote walio vijijini wasiichague CCM mwaka huu,naamii sisi watu wa mjini tunasikilizwa sana na ndugu zetu waliovijijini ukizingatia ndio tunaowatunza...hakikisha baba,mama,kaka,dada,mjomba,shangazi,babu na bibi wote unawapa ujube huu,WACHAGUE CHADEMA na sio TLP
  pamoja tutashinda
   
 2. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Ama kwa wale wafanyakazi wa Serikali waliotukanwa na JK, wafanyabiashara wa mijini na hata walipo ughaibuni na ambao hawamo kabisa kwenye daftari la kudumu la wapiga kura, waweke mikakati ya kutoa vikwazo vya kiuchumi na kusitisha misaada kwa ndugu zao wanaowategemea iwapo wataichagua tena CCM kwani kufanya hivyo itakuwa ni kujitakia shida kwa zaidi ya miaka 40 tokea uhuru.
   
Loading...