Elections 2010 Mabere Marando kuibukia CHADEMA?

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Mabere Marando anatarajia kujiunga rasmi CHADEMA akitokea NCCR Mageuzi

chanzo changu ni watu walioko karibu naye na kuwa atatangaza uamuzi huo muda wowote kuanzia sasa.

viongozxi wa vyama vigine vya sisda kukimbia chadema si ni kuharibu mipango ya kisiasda ya vyama vyao
 
Kwa nini una haraka unapoandika? Mada fupi lakini makosa kibao. Jaribu kuwa makini mkuu. Asante.
 
kama ni kweli chadema wajihadhari na "mazagazaga ya kisiasa" wengine ni mashushushu tu.
 
kama ni kweli chadema wajihadhari na "mazagazaga ya kisiasa" wengine ni mashushushu tu.

Kazi inaaanza akina Mrema Lyatonga hawooo wanazaliwa. Remeber x and y kwenye case ya McGee. Wavurugaji watupu hao. Wakamuulize Masumbuko Lamwai alivyogarazwagarazwa na hawa jamaa. Mwisho wa siku jamaa akarudi kundini. Sikubaliani na ujio wa Mabere Chadema.
Ni mtizamo wangu
 
Mabere Marando anatarajia kujiunga rasmi CHADEMA akitokea NCCR Mageuzi

chanzo changu ni watu walioko karibu naye na kuwa atatangaza uamuzi huo muda wowote kuanzia sasa.

viongozxi wa vyama vigine vya sisda kukimbia chadema si ni kuharibu mipango ya kisiasda ya vyama vyao

huyu anaenda kuvuruga chama kama alivofanya akiwa NCCR Mageuzi
 
Atavuruga tu kama akipewa uongozi wa ngazi ya juu, lakini akiwa mwananachama wa kawaida as I predict atavurugaje????????
 
Kazi inaaanza akina Mrema Lyatonga hawooo wanazaliwa. Remeber x and y kwenye case ya McGee. Wavurugaji watupu hao. Wakamuulize Masumbuko Lamwai alivyogarazwagarazwa na hawa jamaa. Mwisho wa siku jamaa akarudi kundini. Sikubaliani na ujio wa Mabere Chadema.
Ni mtizamo wangu

You are damn right. Kama wakitaka CHADEMA ianze kwenda mrama waanze kuingiza mapandikizi na mabingwa wa migogoro. Marando hafai, he has never been good for Tanzania, he is good for CCM and himself.
 
Kaona NCCR maisha hamna...nadhani ndo walewale wachumia tumbo..
 
Mabere Nyaucho Marandu yuko CCM, wala hayuko NCCR Mageuzi.
Habari za kipashkuna kama hizi ni za kuzipuuza kabisa, na zina wafanya hatters wapate sababu ya kusema kuwa JF imekufa.
 
Mabele Marando ni hatari katika ukombozi wetu. Chadema pokeeni ombi lake halafu mwambieni mnamfikiria na baada ya uchaguzi mmpe jibu ambalo ni HAPANA kwani hana msimamo thabiti!
 
Ela inaweza kukufanya ata uvue nguo hadharani!
Kama ni kweli Marando anajisikiaje kuwa kuhadi wa CCM.
kWELI AKILI NYWELE KILA MTU ANA ZAKE
 
MIMI BINAFSI NO SUPPORT KABISA HUYU JAMAA SIDHANI KAMA NI POTENTIAL ENOUGH KUINGIA CHADEMA , NADHANI HILI JAMBO LIFIKIRIWE IN 3D HUYU JAMAA ALIMSAMBARATISHA MREMA…ATIMULIWE CHADEMA :eek2:
 
Simwamini huyo Marando hata aliyeleta habari hii. No for both of you.
 
amejirudi jamani msameheni huyo mwanasheria na memba wa usalama wa taifa huenda akasaidia.
 
Mabere Marando anatarajia kujiunga rasmi CHADEMA akitokea NCCR Mageuzi

chanzo changu ni watu walioko karibu naye na kuwa atatangaza uamuzi huo muda wowote kuanzia sasa.

viongozxi wa vyama vigine vya sisda kukimbia chadema si ni kuharibu mipango ya kisiasda ya vyama vyao

Mleta habari na avatar yake wote sawa
:nerd::nerd::nerd::nerd::nerd::nerd::nerd::nerd::nerd:
 
Back
Top Bottom