Elections 2010 Kikwete apendekezwa na CCM kugombea urais 2010

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
Kishatumbuiza Vick Kamata kisha wakatumbuiza wasanii wa TMK wakiongozwa na Juma Nature, wametinga mavazi ya CCM kwa raha zao.

Sasa anatumbuiza Flora Mbasha, anaimba "Kikwete Kiongozi bora, Ushindi ni LAZIMA".

Violeth Mzindakaya ndiye MC wa shughuli hii.

Wamehudhuria Lipumba, Mrema na viongozi wa Demokrasia Makini
 
Kishatumbuiza Vick Kamata kisha wakatumbuiza wasanii wa TMK wakiongozwa na Juma Nature, wametinga mavazi ya CCM kwa raha zao.

Sasa anatumbuiza Flora Mbasha, anaimba "Kikwete Kiongozi bora, Ushindi ni LAZIMA".

Violeth Mzindakaya ndiye MC wa shughuli hii.#

Wamehudhuria Lipumba, Mrema na viongozi wa Demokrasia Makini

Jamani hizi sio kampeni kabla ya wakati?
 
Kwani Mbasha anaimba nyimbo hizi za kidunia, ama ndio yale ya Kikwete chaguo la Mungu, asante Invisible, endelea kutujuza hayo yanayoendelea kwenye mkutano huo wa mabaka uchumi.
 
hehehe!mkuu invisible umesimama kona gani?....
mi nipo hapa kwa raha zangu
 
Kwa sasa anaimba msanii DOKII... Anasifia kipindi cha miaka 5 ya JK...

Elimu imeboreshwa, miundombinu imeboreshwa etc
 
hehehe!mkuu invisible umesimama kona gani?....
mi nipo hapa kwa raha zangu
Mkuu nipo ndani ya ukumbi, si unajua sisi wadau haswa... :cool:

Dokii amejazia kwelikweli... Anasifia KIKWETE ANAWEZAAAA!
 
Sasa wanaingia Lowassa, Kikwete, Mkapa, Makamba, Karume, Msekwa etc... Viongozi wa kitaifa wa CCM
 
chama chetu cha mapinduzi chajenga nchiiiiiiiii, eh chamaaaaaaaaaaa, ehhhhhhhhhh!
 
chama chetu cha mapinduzi chajenga nchiiiiiiiii, eh chamaaaaaaaaaaa, ehhhhhhhhhh!
Yeah, ndo wanaimba hivyo!

Sasa anaongea Chiligati.

Wanafunzi wa Vyuo vikuu watapewa fursa ya kuimba pia.

Sasa wanatumbuiza TOT, wamevaa njano sanaaa. Wanaimba OVYO kabisa leo
 
Wanafunzi wa vyuo vikuu wanaimba "CCM kiboko yao, na wapinzani wanajua". Wanasisitiza CUF wanajua...! Hahaha na TLP wanajua! Aibu kwa Mrema na Lipumba....
 
Inaelekea JK anafurahishwa sana na wimbo wa wanafunzi wa vyuo! Anatabasamu saaana
 
Mkuu nipo ndani ya ukumbi, si unajua sisi wadau haswa... :cool:

Dokii amejazia kwelikweli... Anasifia KIKWETE ANAWEZAAAA!
:bounce::bounce::bounce::bounce::bounce::bounce:
nilidhani ni mimi binadamu tu ninaliona hilo KUMBE HATA ROBOT
 
Yeah, ndo wanaimba hivyo!

Sasa anaongea Chiligati.

Wanafunzi wa Vyuo vikuu watapewa fursa ya kuimba pia.

Sasa wanatumbuiza TOT, wamevaa njano sanaaa. Wanaimba OVYO kabisa leo
nainjoy burudani mkuu. live on TBC1
 
Back
Top Bottom