Mtakaodhulumiwa ccm iongezeeni chadema nguvu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtakaodhulumiwa ccm iongezeeni chadema nguvu

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mzito Kabwela, Jul 25, 2010.

 1. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,690
  Trophy Points: 280
  CCM ni chama cha Dhuluma, hili lipo wazi.
  Tumesikia tayari wagombea wa CCM wameshaanza kumwagiwa mchanga wa macho.
  Peter Msola (waziri wa mawasiliano) amefanya ghiliba ili awanie kiti cha Ubunge bila kupingwa. Dili limebumburuka.
  Dodoma mjini zoezi la kura za maoni limeahirishwa, mbunge anayemaliza muda wake ambaye wakazi wa Dodoma Mjini hawataki hata kumsikia amekula njama na katibu wa wilaya ili kumpitisha. Tayari katibu amehamishiwa Morogoro.
  Kyela nako inasemekana Mwakyembe amekaliwa kooni na Mwakipesile na kambi yake na tayari dhuluma ya wazi dhidi ya mpiganaji huyu imeanza kudhihirika.
  Shinyanga (Bukombe na Mbongwe) kura za maoni zimeahirishwa. Wagombea 16 wamegomea zoezi maana zipo dalili zisizo na shaka kuwa wagombea fulani wanapendelewa.
  Arusha, Felix Mrema na Elisa Mollel wanahujumiwa,
  Batilda Buriani na yeye yumo kwenye listi ya kuwahujumu wenzake Arusha.
  Ole Sendeka mambo yake sio mazuri sana na tayari amelalamika kuhujumiwa.
  Kwa majimbo haya inaonekana kabisa ki ujumla kuwa hali si nzuri ndani ya chama.
  Nawaomba, wote watakaodhulumiwa wafanye kama walivyofanya wenzao wa Karatu (kipindi kile Slaa alipopigwa mchanga wa macho CCM), wafanye kama walivyofanya Kigoma kaskazini, Mpanda Kati, Moshi mjini ambako poote hapo upinzani umechukua majimbo baada ya CCM kuhujumiana. Watakao hujumiwa waunganishe kura zao wazielekezee CHADEMA ili tupate sauti ya kutosha Bungeni.
   
 2. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  cck ndio chama gani tena hicho?
   
 3. P

  Paul S.S Verified User

  #3
  Jul 25, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  No nenda DP kwa mtikila
   
 4. P

  Paul S.S Verified User

  #4
  Jul 25, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  cuf kitakufamaana wewe si mkrito
   
 5. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,690
  Trophy Points: 280
  CHADEMA haonewi mtu. Karibu sana
   
 6. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Wanang'ang'ania nini CCM? wakati wajua wazi kuwa ni chama cha kale isiyotaka mabadiliko.

  Wahamie CHADEMA
   
Loading...