Tanzania Ya Nyerere Yenye Neema Yaja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania Ya Nyerere Yenye Neema Yaja

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kachanchabuseta, Jul 26, 2010.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  WanaJF

  Nina mpago wa kurudi nyumbani kabla ya Uchaguzi ili nitoe kura yangu kwa DR Weapon(Slaa) juzi ndo nimesikia kuwa anagombea Urais. Niliposikia habari hii nilishutuka kidogo nikaona Dr weapon kadhubutu, nchi ya mwalimu nyerere imekuja, utawala wa maadili ya mwalimu nyrere umerudi, Mungu nisadie kura yangu ifanye kazi
   
 2. L

  Lady JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2010
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 280
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Tuko pamoja!
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  tuko pamoja HUyu ndo Rais tunayemtaka
   
Loading...