Mtangazaji Clouds Zamaradi Mketema kuwania Ubunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtangazaji Clouds Zamaradi Mketema kuwania Ubunge

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Lucchese DeCavalcante, Jul 22, 2010.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Na Mwandishi Wetu
  Mtangazaji anayekuja kwa kasi kwenye ‘field’ hiyo Zamaradi Nketema ambaye anapiga mzigo katika Kituo cha Radio Clouds Fm, naye ameamua kwa moyo mmoja kuingia kwenye siasa huku kiu yake ikiwa ni kutinga Bungeni baadaye Novemba mwaka huu.

  Juzi, Jumanne Amani lilitumiwa ujumbe mfupi na chanzo chake makini, kikitonya kwamba: “Oyaaa Zamaradi amechukua fomu ya kugombea Ubunge kupitia Viti Maalum – CCM.”

  Kama kawa, bila kuchelewa Askari wa Amani alimvutia waya Zamaradi na kutaka kujua ukweli wa stori hiyo ambapo alitoa ushirikiano wa kutosha.

  “Ni kweli nimechukua fomu leo (Jumanne) na ninatarajia kurudisha kesho. Siwezi kuongea mengi kwasasa, labda hadi nitakaporudisha fomu. Nitafute kuanzia kesho (Jumatano) na kuendelea, ninaweza kuwa na mengi ya kuongea,” alisema Zamaradi.

  Zamaradi anakuwa Mtangazaji wa pili wa kituo hicho kurusha karata yake kwenye kinyang’anyiro hicho baada ya marehemu Amina Chifupa kufanikiwa kuingia bungeni kwa uteuzi kama anaowania.

  SOURCE: GBL
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  GBL:Ze comedy
   
 3. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2010
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Wishing her Lucky..
  But Amina was Amina...
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Unamaanisha huyu hapa kwenye picha!
  Aiseee!

  [​IMG]
   
 5. K

  Kifuna JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2010
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 426
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Aanze basi kuvaa kwa nidhamu asionyeshe kifua!! Akumbuke ubishoo huo Amina uliwahi kumtoa nje ya Bunge baada ya kuvaa ndivyosivyo. Tunajua anaweza lakini aache kuvaa vinguo vya watoto. Zaidi ya hayo kila la kheli.
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Sasa watoto wanataka kujaa bungeni
   
 7. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Yeah the same 'cute' gal
   
 8. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #8
  Jul 22, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Karibu sana kugombea vitanda maalum sori viti maalum.
   
 9. D

  Diana-DaboDiff JF-Expert Member

  #9
  Jul 23, 2010
  Joined: Jul 13, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kuwa na vijana ni muhimu bungeni,maamuzi mazuri mdogo wangu.
   
 10. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #10
  Jul 23, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ..she luks too young kuwa na majukumu...all the best lakini...
   
 11. D

  Diana-DaboDiff JF-Expert Member

  #11
  Jul 23, 2010
  Joined: Jul 13, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Atajifunza tu Rose,mwanzo mgumu.
   
 12. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #12
  Jul 23, 2010
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Duh!
   
 13. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #13
  Jul 23, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,419
  Likes Received: 3,765
  Trophy Points: 280
  Akumbuke kuna akina watu kama akina Kabwe................. huwa wanakula sahani moja na watu kama hawa.................. Amina Chifupa si ndo alikuwa wa namna hii na alitoka Redio hiyo hiyo
   
 14. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #14
  Jul 25, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Namuonea huruma akifanikiwa kuingia bungeni na kukutana na kina Nchimbi sijui kama atasalimika.
   
 15. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #15
  Jul 25, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Anajua kwanza Nini maana ya Bunge, nini kazi za Mbunge! Je anajua Mfumo wa Taifa letu? Naamini kabisa kuna Wabunge wengi hawafahamu kwamba Bunge ni Mhimili wenye Nguvu kama ilivyo Serikali na Mahakama
   
 16. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #16
  Jul 25, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,793
  Trophy Points: 280
  Curiosity has its own reason to exist..labda anajua fika nini anachoomba kukifanya. Vinginevyo bunge si kipindi cha sinema au leo tena, Lol
   
 17. K

  Kanyafu Nkanwa JF-Expert Member

  #17
  Jul 25, 2010
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Nimecheka sana sana, hata huko kwenye comments zinafuata hakuna haja kwenda!.
   
 18. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #18
  Jul 26, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  It seems bungeni hakuna standards tena.
   
 19. M

  Mutu JF-Expert Member

  #19
  Jul 26, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hivi watu wengi wanao enda bungeni wana jua katiba na sheria za nchi? Sio huyu tu bali wengi wao kwa ujumla.
  Naunga mkono kwa vijana kuwa part of the changes ,ila kwa kijana kujua mengi inabidi awe katumia muda wake vizuri kufanya her/his home work .
  just curiosity.Otherwise I wish her the best.
   
 20. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #20
  Jul 26, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  ama kweli ubunge sasa unataka kuwa kichekesho, hivi huyu wa darasa la nne pale clouds FM awe naye mbunge lahaulaa usishangae na kibonde nae akataka kugombea ubunge, wao wakae na clouds yao kupiga umbea we need serios people in the parliament katika kipindi hiki tunachotaka mabadiliko ya kweli tanzania na sio wauza sura kama hawa comedians wa clouds FM.
   
Loading...