Mapambano ya vita dhidi ya ufisadi ni kiini macho CHADEMA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapambano ya vita dhidi ya ufisadi ni kiini macho CHADEMA?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kabewa, Aug 3, 2010.

 1. Kabewa

  Kabewa Member

  #1
  Aug 3, 2010
  Joined: Oct 30, 2009
  Messages: 98
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  UTHABITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika kupambana na ufisadi nchini, umetiliwa shaka, siku chache baada ya aliyekuwa mwanachama mwandamizi wa NCCR-Mageuzi, Mabere Marando, kujiunga nacho.

  Shaka hiyo inatokana na kile kilichoelezwa na baadhi ya wachambuzi wa masuala ya kisiasa, dhima aliyonayo Marando ndani na nje ya chama hicho, kuhusiana na mapambano dhidi ya ufisadi ambayo yamekuwa yakipewa kipaumbele na chama hicho cha upinzani.

  Marando ambaye ni mwanasheria kitaaluma na wakili wa kujitegemea, ni mmoja wa mawakili wanaotetea watuhumiwa wa kesi za ufisadi wa Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam.

  Katika kesi hizo, Marando anatetea washtakiwa wawili ambao ni Jayant Kumar ‘Jeetu Patel’, mwenye kesi nne katika Mahakama hiyo; namba 1153/08, 1154/08, 1155/08 na 1157/08 na Esther Mary Komu mwenye kesi namba 1164/08.
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Unajua sometimes inakuwa huna jinsi unapokuwa referee kwenye mechi ambayo timu yako unayoipenda inacheza na wapinzani.
  Swala la Marando kuwa wakili wa watuhumiwa wa kesi ya EPA sidhani kama ni kigezo cha kumwona na yeye ni fisadi.
  Hiyo ndio proffesion yake na utetezi ndio kazi yake.
   
 3. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mmmmmmmmmmmmh. kazi ipo.
   
 4. Bramo

  Bramo JF Bronze Member

  #4
  Aug 3, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 9,451
  Likes Received: 2,502
  Trophy Points: 280
  Je CCM na Makamaba anaetetea mafisadi je utasemaje?
  Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa TZ inasema kila mtu ana haki ya kutetewa mahakamni...
   
 5. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #5
  Aug 3, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Mbona wauaji nao hupatiwa huduama za kisheria. Haya ni mambo mawili tofauti kabisa.
   
 6. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #6
  Aug 3, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Huyo mtu ni shushushu wa ccm na serikali. si mtu mzuri na nawahakikishieni huyo jamaa ameenda kukiua chama. Time will tell and we will see.
   
 7. Kabewa

  Kabewa Member

  #7
  Aug 3, 2010
  Joined: Oct 30, 2009
  Messages: 98
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Hivi akiwatetea wakashinda siatakua ameiangusha chadema katika upambanaji kwasababu wataonekana hawana hatia na watu wataaminishwa kuwa akina Jitu ni watu safi na chadema walikuwa wanawahisi tu hawana ushahidi?
  mchango wenu tafadhali
   
 8. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #8
  Aug 3, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  hizi ni propaganda za chama cha mafisadi - ccm

  zinafaa sana pale lumumba na kwenye vijiwe vya kahawa
   
 9. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #9
  Aug 3, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  wana ccm lini mkawa na uchungu na vyama vya upinzani? eti amekwenda kuua chama, so what? i thought sasa hivi mngekuwa mnasherehekea (iwapo hii ni kweli?)
   
Loading...