Mwana Siasa kama ThinkTank

Ntamb

Member
Feb 13, 2008
18
0
Je hatuoni umuhimu wa Kuwa na ThinkTank za aina mbalimbali nchini kote, au katika kila fani ya maisha yetu?
ThinkTank hizo zingeweza kuiamusha au kuishtua serikali yoyote iliyoko madarakani, kama ikilala. Nina maana hasa ya kuamsha, siyo kuchapa kiboko.

Nadhani wengi tutakubaliana kwamba ThinkTank inatofautiana na vyama vya upinzani kwa namna nyingi, kwa hiyo serikali yeyote ile iliyoko madarakani itaweza kusikiliza mawazo yake, kuliko yale yanayotoka upande wa vyama vya upinzani.

Tunaendelea kulijadili swala hili, na mnakaribishwa kutoa maoni yenu, sambamba na harakati za uchaguzi.
1) https://www.jamiiforums.com/habari-...o-few-thinktanks-in-tanzania.html#post1011439
2) https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...8566-thinktank-ya-sheria-na-haki-za-raia.html

Nakaribisha maoni.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom