Dr. W. Slaa, Zitto Kabwe na Mwenyekiti Freeman Mbowe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. W. Slaa, Zitto Kabwe na Mwenyekiti Freeman Mbowe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sabi Sanda, Jul 30, 2010.

 1. S

  Sabi Sanda JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hongereni sana kwa kazi kubwa mnayofanya ya kuikomboa nchi yetu.

  Kama Mtanzania naomba, PAMOJA NA MAMBO MENGINE, mniruhusu kupendekeza yafuatayo ili yawasaidie katika kutimiza ndoto ya kushinda uchaguzi mwaka huu wa 2010.

  1. ANZISHENI NA FUNGUENI VITUO NA SEHEMU MAALUMU KILA KONA YA NCHI YETU ZA KUKUSANYA MICHANGO YA FEDHA TASLIMU TOKA KWA WATANZANIA AMBAO HAWAWEZI KWENDA BENKI KUWEKA FEDHA KWENYE AKAUNTI ZA CHADEMA. Katika mpango huu lengo linapendekezwa liwe ni kukusanya ANGALAU shilingi elfu moja kila wiki toka kwa kila Mtanzania. Sehemu hizo zinapendekezwa ziwe wazi kuanzia saa 11 alfajiri mpaka saa tisa mchana ili fedha itakayokusanywa siku husika iweze kupelekwa benki siku hiyohiyo kabla ya saa kumi jioni. Sehemu hizi ziwe na MAKASHA maalumu yaliyo na kufuri maalumu ambapo kila mchangiaji atakuwa anatumbukiza mchango wake. Kwa upande huo huo mnaweza pia kuongea na benki za CRDB na NMB ili katika kila tawi la benki hizo kuwe pia na HAYO MAKASHA MAALUMU ambapo kila mchangiaji badala ya kupanga foleni atakwenda tu kuweka mchango wake katika KASHA MAALUMU na kisha kuondoka. KILA IJUMAA AU JUMAMOSI YA WIKI HUSIKA MAKASHA HAYO YAWE YANAFUNGULIWA NA KISHA FEDHA ZILIZOPATIKANA KUWEKWA BENKI KWENYE AKAUNTI HUSIKA NA TAARIFA RASMI KUTOLEWA KWA WATANZANIA WOTE.

  2. CHADEMA inunue muda wa angalau saa 5 kila wiki katika redio zetu hasa TBC Taifa, Radio One na RFA ili kuweza kuzungumza na Watanzania moja kwa moja kila siku kwa angalau nusu saa. Na kila siku asubuhi kwa muda usiozidi dakika 7, Dr. Slaa awe anazungumza na Watanzania kupitia Televisheni na Radio.

  3. Pindi kampeni zitakapoanza rasmi CHADEMA iwe inafanya matembezi ya mshikamano kila Jumamosi ya Kilomita MBILI ambapo kila mshiriki ataombwa awe anachangia shilingi elfu tano tu toka kwake na toka kwa wadhamini wake.

  NITASIKITIKA SANA KAMA JAKAYA ATASHINDA UCHAGUZI MWAKA HUU. BINAFSI NIMEMWANDIKIA SANA KWA NJIA YA EMAIL NA BARUA ZA KAWAIDA KAMA RAIS WANGU. ILA NASIKITIKA SANA MAWAZO YANGU HAYAJAFANYIWA KAZI. NITASHUKURU SANA KAMA ATAWEKA HADHARANI EMAILS NILIZOMWANDIKIA NA BARUA YANGU YA TAREHE 03/02/2006 ILI RAIS AJAE AWEZE KUYAFANYIA KAZI HAYO MAWAZO, AMBAYE KWANGU MIMI NI WEWE DR. W. SLAA
   
 2. B

  Baija Bolobi JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2010
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 929
  Likes Received: 696
  Trophy Points: 180
  =========

  Bwana Sabi
  Haya ni mawazo mazuri sana na mengine ya namna hii nimempelekea Mnyika ili Sekretariati ianze kuyafanyika kazi. Nakushauri pia kwa manufaa ya CHADEMA, wapelekee moja kwa moja kuliko kuyaweka hapa halafu kina maralia wataanza kuchafua hewa.

  Pili, nakushauri hiyo barua yako uliyotuma kwa JK imwage hapa hapa tuijadili au wape Mwanahalisi waichape yote ili iwe faida kwa Watanzania wote. Nina mashaka kama JK anazipata hizi barua maana amezungukwa na wajanja wanaoiangusha serikali yake bila yeye kujua.
   
 3. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2010
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  [​IMG]
   
 4. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2010
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Fanyani hima aondoke
   
 5. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #5
  Jul 30, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,767
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Mawazo mazuri, nafikiri CHADEMA itayafanyika kazi - ni kweli watanzania wanahitaji mabadiliko ya uongozi wa juu wa nchi yao muda umeshafika na hakuna ubishi kwa hili.
   
 6. WA MAMNDENII

  WA MAMNDENII JF-Expert Member

  #6
  Jul 31, 2010
  Joined: Jun 5, 2010
  Messages: 310
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  good idea let chadema think and work on it
   
 7. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #7
  Jul 31, 2010
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Lakini isiwe mitaani au mahali pasipo salama maana TZ wajanja wengi
   
 8. S

  Sabi Sanda JF-Expert Member

  #8
  Jul 31, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Asante sana Saharavoice kwa kazi yako nzuri kwa CHADEMA na kwa taifa letu.

  Itabidi kuwe na ulinzi wa kutosha. Maeneo muhimu sana mbali na KILA TAWI LA BENKI ZA nmb NA crdb, ni kama vile Misikitini na Makanisani, vituo vya MABASI MAKUBWA NCHI NZIMA, katika kila ukumbi wa harusi hapa nchini,Vituo vyote vikubwa vya mabasi makubwa, na daladala (kama vile UBUNGO BUS TERMINAL, POSTA MPYA, MAKAMBAKO, MWENGE, UBUNGO KITUO CHA DADADALA, MLIMANI CITY, Arusha Bus Terminal; Msamvu Morogoro na katika kila basi liendalo mkoa mwingine.------0659 28 1964.
   
 9. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #9
  Jul 31, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Good idea hasa hilo wazo namba 1(la kukusanya pesa za kutosha) likifanikiwa ni dhahiri na mengine yote yatafanikiwa.
   
 10. S

  Sabi Sanda JF-Expert Member

  #10
  Jul 31, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wakuu ELNINO, Baija Bolobi na Wengine,

  ASANTENI SANA NIMEWASOMA. Aluta Continua.
   
 11. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #11
  Jul 31, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,376
  Trophy Points: 280
  Mmesoma sheria ya Gharama za Uchaguzi..???
   
 12. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #12
  Jul 31, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kwani inasemaje inazuia watu kuchanga?
   
 13. S

  Sabi Sanda JF-Expert Member

  #13
  Jul 31, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni kweli nakubaliana nawe asilimia 2000. KutakUCHA Iwapo CHADEMA WATAANZISHA TELEVISHENI YAO AMBAYO INAPENDEKEZWA IITWE Chadema GLOBAL TELEVISHENI (CHADEMA GTV) wakishirikiana na SERIKALI ZA MSUMBIJI; GHANA; AFRIKA YA KUSINI; VENEZUELA; BRAZIL, LIBYA; CUBA; ANGOLA; RWANDA, MALAWI, AFRIKA YA KATI NA AFRICAN UNION. CHADEMA GTV ianze kabla ya uchaguzi mwaka huu. HII KURA YA CHADEMA GTV NZITO SANA. FEDHA SI TATIZO. NAAMINI KWA SASA MWANACHAMA WA CHADEMA NDIYO MJENGA NCHI. KAMA KWELI WANACHAMA WA CCM NI KAMA MILIONI 4 BASI CHADEMA LAZIMA ISHINDE MWAKA HUU. NA PINDI CHADEMA WAKIINGIA MADARAKANI HAKUNA WA KUWATOA TENA IKULU COME SUN COME RAIN. CHADEMA GTV HAITAJI ZAIDI YA SHILINGI 100M KUANZA.

  NDUGU YANGU KITILLA MKUMBO NA ZITTO KABWE BILA KUMSAHAU PROFESSA BAREGU NAOMBA SANA HAYA MAWAZO MSIYAWEKE KAPUNI HATA KIDOGO. Ndugu yangu Mbowe naomba mmpe kazi maalumu Profesa BAREGU YA KUZUNGUKA DUNIA KUANZIA MWEZI HUJAO WA TISA ILI KILA MTU WA DUNIA HII AJUE CHADEMA NI NINI NA NI CHAMA CHA NAMNA GANI HAPA DUNIANI. KUFIKIA MWAKA 2015 CHADEMA GTV IWE NA CHANNELS 1200 NA MM awe ndiye mwakilishi wa CHADEMA GTV BARA LA AMERIKA LOTE KWA UJUMLA WAKE.

  MBALIKIWE SANA. NAOMBA WOTE TUSOME MITHALI 20:1 NA WAGALATIA 5: 13-26 BILA KUSAHAU SURA YA 28 YOTE KATIKA KITABU CHA KUMBUKUMBU YA TORATI. PIA TUIMBE TENZI ZA ROHONI KILA SIKU HASA TENZI NAMBA 67; 71; 86 NA 56.

  MUNGU AWABARIKI SANA WATANZANIA WENZANGU POPOTE PALE MLIPO KATIKA ULIMWENGU HUU.
   
 14. S

  Sabi Sanda JF-Expert Member

  #14
  Jul 31, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ubarikiwe Mkuu. Sio kuipata na aliisoma pia.
   
 15. S

  Sabi Sanda JF-Expert Member

  #15
  Jul 31, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Usipate SHIDA Mkuu. HII NI MIKAKATI YA KUDUMU BILA KUJALI KAMA KUNA UCHAGUZI AU LAA. TUENDELEE KUTOA MAONI NA KUBORESHA ZAIDI. MM HAPO JUU KIDOGO KUNA NAFASI YAKO.
   
 16. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #16
  Jul 31, 2010
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,692
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 180
  Wazo la CHADEMA kuanzisha TV Station na radio yake ndilo sahihi kwani TBC hawawezi kumruhusu mpinzani awasilishe mawazo yake kwa uma, hasa kama yana lengo la kuikosoa CCM na serikali yake. Star Tv na RFA ni mali ya Diallo, Mbunge wa Ilemela Mwanza ambaye ni kada wa CCM. Hawezi kuruhusu hata kwa kulipia. ITV na Radio One ni za Mengi. Naye sidhani kama anaweza ku-take risk ya kuwapa airtime wapinzani hata kama moyoni angependa iwe hivyo. Njia pekee ni CHADEMA kuwa na vyombo vyake.
   
 17. S

  Sabi Sanda JF-Expert Member

  #17
  Jul 31, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ruge

  Tahadhari unayoitoa ni nzuri. Ila binafsi naamini bado itawezekana kutumia TV na Redio zilizopo kwa sasa. TBC kupitia Mkurugenzi wao Mkuu wameisha ahidi kutoa nafasi ya kutosha kwa vyama na kwa usawa kwa vyama vitakavyoshiriki uchaguzi mkuu mwaka huu.

  Kwa upande mwingine iwapo CHADEMA itaamua kuyafanyia kazi kwa ukamilifu wake pamoja na kuyaboresha yale yaliyopendekezwa kwenye THREAD HII, HASA WAZO NAMBA MOJA, kila wiki kuanzia mwezi ujao watakuwa na uhakika wa kukusanya zaidi ya shilingi bilioni 3 toka kwa Watanzania kutokana na ukweli kuwa idadi ya Watanzania ambao wamevuka mstari wa umasikini ni zaidi ya watu milioni 27. Kwa upande mwingine idadi ya Wanachama wa CHADEMA kwa sasa naamini hawapungui watu milioni moja. HAKUNA KISICHOWEZEKANA KWA KUTUMIA NGUVU YA NAMBA.
   
 18. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #18
  Jul 31, 2010
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,543
  Likes Received: 1,892
  Trophy Points: 280
  2006 Freeman alisema watakuwa na TV within ten years,ingekuwa vyema wafungue sasa,if not now i dont know when then...
   
 19. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #19
  Jul 31, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  mawazo yote yaliyo tolewa hapa ni mazuri na kuyaheshimu na kuyafanyia kazi(utekelezaji) hii imekaa vizuri zaidi tanzania itakomboleka kwa kuunganisha nguvu zetu kwa pamoja yes CHadema WE CAN
   
 20. S

  Sabi Sanda JF-Expert Member

  #20
  Jul 31, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Umenena na hakuna muda mwingine mzuri kama huu.

  Pia kuna haja ya kuwa na CHADEMA AGRICULTURAL INVESTMENT FUND (CAIF). kazi kuu ya MFUKO huu itakuwa ni kuwekeza katika Kilimo hasa katika mabonde ya Usangu, Kilombero na Rufiji na Ujenzi wa Viwanda vya kusindika mazao yetu mbalimbali mpaka ngazi ya Kijiji ndani ya miaka 15 ijayo. Kwa uwekezaji wa shilingi milioni 300 CAIF inaweza kuanza vizuri kabisa. CAIF itabidi iendeshwe na watu wenye uadilifu wa hali ya juu na ujuzi ulibobea katika masuala ya Uhandisi, Kilimo na Uongozi.

  Mkakati mzuri katika kuiwezesha CAIF kusimama imara ni kwa kila Mtanzania kuichangia angalau shilingi 10,000 kila mwaka kwa njia ya ununuzi wa vipande vyake vya uwekezaji. Bei ya Kipande Kimoja cha Uwekezaji inapendekezwa iwe shilingi elfu moja tu kwa kila kipande.

  0659 28 19 64/0712 540 415
   
Loading...