Jamani huu si ndo uhuni wenyewe? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani huu si ndo uhuni wenyewe?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Geza Ulole, Aug 3, 2010.

 1. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 4,017
  Trophy Points: 280
  CCM picks Dr Slaa’s namesake for Karatu constituency
  From MARC NKWAME in Arusha , Total hits: 128
  WHETHER it is by coincidence or CCM’s strategy, the party has nominated a person known as Dr Willbard Slaa to vie for the Karatu constituency in Karatu District, Arusha region.
  The new CCM’s candidate’s names and title sound like the names of the former Karatu MP, Dr Wilbroad Slaa who is now running for presidency on the opposition CHADEMA ticket.
  The choice of Dr Willbard Slaa to compete for the seat formerly occupied by Dr Wilbroad Slaa, according to observers, here will give the opposition party, CHADEMA, a difficult time during campaigns in the area and may even confuse some voters who in the past 15 years have been used to the name ‘Slaa’ as their representative to the National Assembly.
  In Manyara, Mr Christopher Ole Sendeka, was once more nominated to run for the Simanjiro Constituency by leading in 15 out of the 18 wards of the vast District.
  Minister Philip Marmo was again allowed to compete for the Mbulu area seat where he may face CHADEMA’s Mustafa Akonaay as his major opposition competitor.
  Dr Mary Nagu, also retains her party’s blessing to represent CCM in the Hanang’ constituency in Manyara region.
  CCM picks Dr Slaa’s namesake for Karatu constituency | Daily News Election Portal

  MY TAKE: Wakaratu wana muda wa kujua yupi ni yupi? kwanza hata magazeti yanafikaga huko kujua Dr Slaa anafanana vp? mimi ninavyojua wengi wao ni wawindaji sasa hapo ndo mchezo wenyewe ulipo!
   
 2. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Siasa za bongo bana, but this is gd......... maana kuna siku atatokea mgombea anaitwa say Julius Malingumu Nyerere. Je atakataliwa kwa sababu ya jina lake????
   
 3. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  J e huyo mtu anajulikana kabla au ghafla kaibuka? Jina linaonekana "made in china" hili kuwachanganya wananchi.
   
 4. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #4
  Aug 3, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Mmh..... Watupe cheti cha kuzaliwa na cha shule alizomaliza tuone
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Aug 3, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Oh hell to the naw!

  CCM is never short on histrionics and shenanigans.

  So this just can't be a mere coincidence....And dude is also a "Dr"....hmmmm....really? Talk about the silly season in Tanzanian politics then look no further than this drama here...

  I mean..come on y'all...same name...same title, same constituency.....oh my goodness me!! Nice try but I ain't falling for that silly scheme CCM.......try again.
   
 6. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #6
  Aug 3, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,576
  Likes Received: 18,547
  Trophy Points: 280
  The goodwill carry over pia ni part and parcel ya campagn mechanisim, hivyo CCM inataka kulitwaa jimbo la Karatu kwa kutumia kivuli cha jina la Dr. Slaa kwa kuwaambia wanaKaratu kuwa maadam wao walikuwa wakimchagua Dr.Slaa kwa sababu tuu ya jina lake, basi sasa na wao wamewaletea Dr.Slaa hivyo wamchague.

  Lazima tukubali baadhi ya majina yanabeba goodwill ya jina tuu lakini mtu mwenyewe hakuna kitu. Mule mjengoni kuna watu kibao wanamajina makubwa tuu tena yenye goodwill njema ila kiukweli wenyewe ni watupu kabisa.

  Swali linakuja jee huyu Dr. Slaa mwingine ana substance na marching merits za Dr.Slaa original, kama anazo sifa ngoma inabaki kwa Chadema, watamsimamisha nani.

  Kwenye chaguzi zetu, kutokana na uchanga wa upinzani na mizizi ya CCM, kwa wapinzani, watu wanachagua watu na sio chama, lakini kwa CCM, watu wanachagua chama na sio mtu, hivyo kwenye baadhi ya maeneo, CCM hata ikisimamisha gogo tuu, litachaguliwa.
   
 7. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #7
  Aug 3, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,944
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Huko ni kufirisika kisiasa!!!!!!!!
   
 8. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #8
  Aug 3, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,635
  Likes Received: 4,745
  Trophy Points: 280
  Hii kweli ni ya kichina china. Oh masikini nchi inazidi kuendeshwa kihuni, from top to bottom ni usanii tupu
   
 9. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #9
  Aug 3, 2010
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Duh! CCM hawakosi drama..
  Ila wanaKaratu wanajua Oktoba Kura zitaenda wapi..
   
 10. Ghost

  Ghost JF-Expert Member

  #10
  Aug 3, 2010
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 429
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  POLITICS....I just love this game..never ceases to amaze me.. But hey, its all about STRATEGY;.. CHADEMA should come up wit some way to counter measure this.. and may the best strategist win...good luck to all
   
 11. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #11
  Aug 3, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,007
  Trophy Points: 280
  wana karatu watapata mbunge mwingine kutoka Chadema ambaye hana jina la Slaa, hiyo ingework out kama Dk Slaa wa Chadema angegombea ubunge kule Karatu kwani kungekuwa na Dk Slaa wawili na Inaonekana ilikuwa ni Strategy maalumu kutoka kwa EL na RA ili kuwachanganya wapiga kura, lakini sasa hawatachanganywa tena kwani wana Karatu wanajua Dk Slaa Original sio Mbunge nwao tena bali ni Raisi wao na huyo Slaa Mwingine ni wa kichina tu hii inaitwa FAIL
   
 12. Kamaka

  Kamaka JF-Expert Member

  #12
  Aug 3, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 565
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  True that
   
 13. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #13
  Aug 3, 2010
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  :confused2: :noidea: tunakoelekea naona kama ni :drama:
   
 14. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #14
  Aug 3, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 4,017
  Trophy Points: 280
  kisheria that is impersonation kama atakutwa hilo si jina lake ila yeye ni Willbard na sio Willbroad! (sijui Wanyaturu wataweza kutofautisha ikiwa wengi wao hawajui kusoma) na pia kisheria unaruhusiwa kubadili jina! Kwa hiyo waswahili tunasema sheria ni msumeno! Sir God anajua
   
 15. T

  Tall JF-Expert Member

  #15
  Aug 3, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  1.Nijuavyo kiutaratibu mtu unaweza kubadili jina wakati wowote ukitaka.
  2.Kabla ya kubadili ni muhimu kwenda kuapa mahakamani/kwa mwanasheria ukikanusha jina la zamani.
  3.Lakini pia ni lazima tangazo litoke kwenye gazeti la serikali GAZETTE likieleza kusudio la kubadili jina. Sasa mfano nikiona mtu anataka aitwe TALL basi naweza pinga.Hivyo ndivyo nielewavyo
  ..............nilikuwepo
   
 16. Gelange Vidunda

  Gelange Vidunda JF-Expert Member

  #16
  Aug 3, 2010
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 312
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwani kuna tatizo gani kama huyu wa CCM ni Dr. Wilbad Slaa na sio Dr. Willibroad Slaa? Kama kafoji si atajulikana kabla ya kupiga kura? Infact, amefanyeje kwenye kura za maoni?

  Mimi sioni Tatizo - Enzi za raisi Mwinyi ilikuwa unaweza kusoma gazetini "Na Ali Hassan Mwinyi naye yumo!!" kumbe ni Ali Hassan Mwinyi mkulima wa nazi huko Rufiji!! Nakumbuka Marekani kulikuwa na Bill Clinton na Monica Lewinsky na hawa sio wale waliohusika kwenye ile kashfa iliyotaka kumuangusha the rais Bill Clinton! Kwenye movie moja ya Eddie Murphy alicheza kama mtu tapeli aliyechukua useneta kwa name recognition kwa vile majina yao na seneta marehemu yalifanana........but not to take it seriously, thay was a movie.

  Names sometimes yanafanana, sasa yanini hapa kuanza kutoa povu??
   
 17. T

  Taso JF-Expert Member

  #17
  Aug 3, 2010
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,653
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  ameshinda kura za maoni?
   
 18. M

  Mgalatia JF-Expert Member

  #18
  Aug 3, 2010
  Joined: Nov 28, 2007
  Messages: 297
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nijuavyo Dr Slaa alihamia chadema baada ya kunshindwa kwenye kiny'ang'anyiro cha ubunge kwa tiketi ya CCM.Sasa Dr Slaa wao hayumo kwenye kugombea ubunge.Tuone hii copy kama ita work. Akishinda huyu slaa mwingine basi CCM hawawezekaniki kwenye usanii lakini pia huu ni mtihani kwa wana karatu;wanapochagua wanamchagua fulani kama mtu regardless ya kuwa yuko chama gani au wanachagua chama kwa sababu ya sera zake. muda utakapofika tutajua.:A S-coffee:
   
 19. K

  Kamarada Senior Member

  #19
  Aug 3, 2010
  Joined: Jul 24, 2010
  Messages: 148
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Salute for CCM strategy team, I like it. Siasa ndivyo inavyokweda, ni lazima kuwa na vission plans kuliko kusubiri then kuiba kura za wanaotaka mabadiliko. :violin:Bogo tambarare!!!!!!
   
 20. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #20
  Aug 3, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Whaaaaaaaaaaa!!!!
   
Loading...