Sugu, Mbeya ni yako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sugu, Mbeya ni yako

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kiranja Mkuu, Aug 3, 2010.

 1. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Tunataka Bunge lenye sura mpya.
  kero za watu wa chini.
  Sasa tunakupa jimbo letu, tunataka kero uzifanyie kazi.
  Najua sisiemu watabana sana, lakini zimwage mjengoni.
  Wishing u all the best.
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Aug 3, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Mpinzani wa Sugu kwenye uchaguzi mkuu atakuwa nani?
   
 3. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,640
  Likes Received: 2,872
  Trophy Points: 280
  Hana mpinzani
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Aug 3, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Come on now stop playing..
   
 5. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #5
  Aug 3, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Mpinzani wake mkuu atakuwa Mh. Mpesya (CCM) mbunge anayemaliza muda wake ambaye ndo kapita katika kura za maoni ndani ya CCM!!
   
 6. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #6
  Aug 3, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  CCM ina wakati mgumu huko Mbeya.
  Mpesya kwa miaka kumi hajafanya lolote na Wasafwa wenzie wesha mchoka vibaya.
   
 7. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #7
  Aug 3, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,356
  Likes Received: 3,123
  Trophy Points: 280
  mmhh...kampeni za chinichini..eeee
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Aug 3, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,292
  Likes Received: 22,068
  Trophy Points: 280
  Mbeya ohhh Mbeya, Mbeya ntarudi tena.
   
 9. Kamaka

  Kamaka JF-Expert Member

  #9
  Aug 3, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 565
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sugu will rock! kazi kwao watu wa mkoa wa Mbeya msimuangushe....
   
 10. kmp

  kmp Member

  #10
  Aug 3, 2010
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sugu moto chini!!!Aha aha ahaaa
   
 11. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #11
  Aug 3, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Ebana huyu jamaa (Sugu) ukipata bahati ya kumsikiliza, anaongea vitu vya msingi sana.
  Amebadilika sana.
  Kama kweli akishinda atalete chalenji sana bungeni.
  Ila angekuwa nagombea Dar sijui ingekuwaje kwani ile redio nanihii hawampendi. wangemfanyia fitna.
   
 12. Questt

  Questt JF-Expert Member

  #12
  Aug 3, 2010
  Joined: Oct 8, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Sugu will do it.......Why not.....Jamaa kabadilika sana, ila kuna swali bado najiuliza, wabunge wengi ni wafanyabiashara na hata baada ya kupata uheshimiwa waliendelea na biashara zao, sasa Moto chini sijui itakua vp??? Ataendelea kushika kipaza hata baada ya Kuukwaa uheshimiwa???

  All the best Sugu.....NI CHADEMA tu 2010
   
 13. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #13
  Aug 3, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu huyu mgombea mm nafahamiana naye toka sikuj nyingi na namkubali, tatizo lipo kwa wapiga kura je watamchagua?????
   
 14. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #14
  Aug 3, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  wapiga kura wa mbeya msituangushe plzzz...! najua mbeya mjini wapinzani ni wengi saaana..! u dd it once wit nccr u can do it again with chadema..!

  mbeya moto chini x 1000. tunawaita suguuu.....! kama tarime plzz!!!!!!!!!!!!!!
   
 15. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #15
  Aug 3, 2010
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mambo ya politics. Mla nawe ni mla leo, wa kesho haambiliki.
   
 16. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #16
  Aug 3, 2010
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Mbeya ni ya upinzani siku hata Nyerere analijua hilo.
  Sugu, u have nothing to lose.
  Sisiem hawana kitu, kazi yao ni majungu na wizi wa kura tu.
  Mwaka huu tumepata Masia wetu, shime shime tumpe kura za NDIO
   
 17. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #17
  Aug 4, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,845
  Trophy Points: 280
  Kama Komba..........
   
 18. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #18
  Aug 4, 2010
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Sugu moto chini.
  This is endless journey na ndio kwanza tuko hatua ya kwanza.
  Mbeya ni yetu na ubunge ni wetu.
   
Loading...