Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,751
Gazeti la Annuur la Ijumaa Agosti 6-12, ISSN 0856-3861 Na 902 limeandika katika ukurasa wa mbele kabisa kuwa Bunge lijalo kuwa la Usharika na Mchungaji atakuwa Spika Samuel Sitta.
Wanajenga hoja kuwa majina mengi yaliyopitishwa kwenye kura za maoni ni ya Kikristo na hata wale wa Upinzani waliopitishwa wengi ni wakristo.
Hivi vijarida vingine vinapaswa kufungiwa!
Wanajenga hoja kuwa majina mengi yaliyopitishwa kwenye kura za maoni ni ya Kikristo na hata wale wa Upinzani waliopitishwa wengi ni wakristo.
Hivi vijarida vingine vinapaswa kufungiwa!