Elections 2010 Gwaride la CCM laendelea Mwenyekiti UVCCM kortini kwa rushwa

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM wa Mkoa wa Iringa ambaye pia ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu John kilichoko Dodoma, Fadhili Ngajilo (32) amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kujihusisha na rushwa, alikuwa mmoja kati ya wana CCM 12 waliokuwa wanatafuta ridhaa ya kuteuliwa kugombea ubunge Iringa Mjini.


HabariLeo | Mwenyekiti UVCCM kortini kwa rushwa
 
kunani Iringa?
Je ni kweli vitendo hivi vimefanyika Iringa tu
TAKUKURU Iringa wanafanya kazi yao sawasawa; mikoa mingineyo wanachelea kutekeleza majukumu yao au nao walishagawiki kitu kdiogo ili yaishe.
 
TAKUKURU Iringa wanafanya kazi yao sawasawa; mikoa mingineyo wanachelea kutekeleza majukumu yao au nao walishagawiki kitu kdiogo ili yaishe.

Hao TAKUKURU nyie nadhani hamuwajui hapa wanatupa danganya toto, Nikuulize swali ni mgombea yupo wa CCM katika kura za maoni hakutoa mlungula???? na hao walio kamatwa waweza amini rushwa walio toa ni chini ya 100,000/Tsh kweli??

Je Huko Mwanza kwanini Riziwan Kikwete alikwenda jomboni nyamagana???

Umeisha jiuliza kwanini Chibuda alipigwaje Chini na kija mdogo mfanyabiashara mjanja mjanja sie twawajua hoa watu na twaianga lia tu CCM inavyotufanyia mazingaombwe yasiyo wezekanika itakuja kuwatoke puani wacha wajidai this time tusubiliane 2015.

Au Silelii kupigwa chini inakuingia akilini kama kweli ni mfuatiliaji wa siasa za nchi hiii?

TAKUKURU wanataka tu kujionyesha wanafanya kazi lakini wapi, Je unakumbuka alichofanyiwa Mke wa Sitta kule Tabor alivyo ingizwa kwenye mkenge wa TAKUKURU na kumsubua na mpaka akahoji ivi vyote mwanifanyia ,mie nae ijua sheri je wale wasio jua sheria??? Jamani Tujaribu Pima uwezo na utendaji kazi wa TAKUKURU tokea lini walisha pelea rushwa ya mabilioni mahakamani????
 
Masikini Mwaka-le-bora,Tafuna Fedha Fasta ndipo palipokufaa huko bungeni ni matatizo tuu.
 
Masikini Mwaka-le-bora,Tafuna Fedha Fasta ndipo palipokufaa huko bungeni ni matatizo tuu.

Ilikua ngumu kdg kukuelewa hapa kaka....Thanx lakini.....Jamaa kaona za pale TFF hazitoshi na hazina heshima kama za Mjengoni...Anataka kuitwa muheshimiwa Mwakalebela...........Ngoja tuone itakuaje......
 
Back
Top Bottom