habari Maelezo ni tawi la CCM ?

nguvumali

JF-Expert Member
Sep 3, 2009
4,923
1,325
tangu Jumatano wiki iliopita nilikua Jijini Dar es salaam, na nikapata bahati ya kutembelea pale Ofisi za Habari Maelezo mtaa wa Samora, kilichonishangaza ni ule Ubao wa matangazo kujaa picha za Kikwete na Bilali na wana-harimashauri kuu wa CCM, HUKU PEMBENI kukiwa na habari kadhaa wa kadha zikijuza umma, kuhusu chama hiko.
Binafsi nilijiuliza kama ile Ofisi ni ya Umma, ama Tayari ni Tawi la CCM, maana jukumu la kujuza Movement za kamPeni na harakati za CCM ni za chama hicho na sijukumu la serikali.
Naomba kuelewesha kama ile Ofisi sasa hivi ni chumba cha habari cha CCM.
 
leaders_kiswahili4.jpg
 
Back
Top Bottom